Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mdogowangu akiharibu sasa [emoji16]
Huyu nae tulipangilia kabisa lkn tumekoma ndo Kaja na magubu ya ukoo mzima[emoji23][emoji23]karithi Hadi kapitiliza mtoto anagubu huyo mkeo ukioa akija kuleta kesi namrudisha mm kwao hakuwezi kwa gubu ilo la ukoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji24][emoji24]Kuna mdada mtoto ana mwaka na miez ana mimba nyingine wamemwambia hivo nae nikimuona najisikiaga kulia anatia huruma yaani na op ya kwanza ilimsumbua

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Dada yangu pia alipataga ujauzito mtoto akiwa na mwaka[emoji16]
Kasheshe ilikuwepo..

Ashukuriwe Mungu hata ana sisi wadogo zake wa kulea mtoto..yule dogo hakunyonya vizuri [emoji3064],,basi nilikuwa shinda nako muda wote,,kanalia..huku mama yake tumbo lipo kuleee.
Hosp wakamwambia uwahi tu kisu mapema,maana alikuwa na BP ya kupanda.
 
Back
Top Bottom