Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
😂😂😂 mimi nimewasemea ndugu zangu.. bado tuko kwenye mfungo wa 6, weee unaleta habari za mizagamuoDepal nimeshaelewa hahHHaaa wewe mkristo bana au umeslimishwa??
Mie nikawaza timu yenu mmefunga magoli 6 mara nikawaza umefunga mtu 6 kunako 6*6 mara nikawaza umefunga mapazia 6🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 nilikua sijatafakari kwakina!!