Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,259
- 49,192
Apige na goti kukuamkia ni amri sio ombi[emoji16]Sasa coca namzaa kabisa ,kwanza aanze kuniita mama sio shangazi tena[emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Apige na goti kukuamkia ni amri sio ombi[emoji16]Sasa coca namzaa kabisa ,kwanza aanze kuniita mama sio shangazi tena[emoji2][emoji2]
Mwaka mpya na mambo mapya.Heee jamani
Hahahaaaa...acha tu sema nashukuru mungu dada yangu mkubwa ni dokta hosp nyingine ile ganzi ikiishai alikua ananiletea nyingine ananichoma kisirisiri weee oparesheni 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌[emoji23][emoji23] ukiwa na mjeda unasahau kama ulisema sizai tena...
Hizi stori zinaniumiza[emoji19]
HahahEti bukta ya Mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yaani watu mna maneno[emoji1787][emoji1787]
Yanii mie wapili nilinza kutoka bleed wakati hata hakuna uchungu kabisa...!!
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hahah
mamaangu ukimkera utasikia kwanza na babaako tulikuwa hatuna mpango wa kukuzaa tulikuwa kwenye starehe ulikuja kwa kiherehere chako mshenzi wew[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mmh pole shida ilikuwa Nini??Yanii mie wapili nilinza kutoka bleed wakati hata hakuna uchungu kabisa...!!
Chango lingemsumbua mno[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi ndio huwa namwambia mama kuwa hivi ungeahirisha kunizaa sijui ingekuwaje!mama anacheka.
Maana mimi ni mtoto wa uzeeni aisee
Yeah maternity ni miezi mitatu mapacha minne!Mie pia nilihangaika kwenye ule mpira tu nikawaza ulivamiwa mkojo unavouma vile halafu waliniweka vibaya eti waje wautoe niweke vizuri Mbona nitakufa kha!!
Poleeeeh.Sitaki kukumbuka kabisa shangazi.... sasa mie nilijifanya kuanza kazi mapema kujiona nishakomaa na mshono haukunisumbua kabisa... sasahivi mgongo kiuno vinauma balaa!!
Walisema huwa inatokea sometimes japo ilikua ndani tarehe za matarajio so moja kwa moja wakanipeka threatre!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Huo ndio ukweli..
Usipo pumzika cha moto utakiona...
Mdogowangu akiharibu sasa [emoji16]Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi ndio huwa namwambia mama kuwa hivi ungeahirisha kunizaa sijui ingekuwaje!mama anacheka.
Maana mimi ni mtoto wa uzeeni aisee
Mpira unauma sana bwana...
Kuweni na adabu nyie watu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa coca namzaa kabisa ,kwanza aanze kuniita mama sio shangazi tena[emoji2][emoji2]
Wee lisingemsumbua[emoji23]Chango lingemsumbua mno[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Shos zile hekaheka Sikupatii picha utavotukana wapuuzi haha!🤣🤣🤣🤣Poleeeeh.
[emoji24][emoji24]Kuna mdada mtoto ana mwaka na miez ana mimba nyingine wamemwambia hivo nae nikimuona najisikiaga kulia anatia huruma yaani na op ya kwanza ilimsumbua[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Huyu dada akawa anatuhadithia,wifi yake alibeba Tena mimba mtoto akiwa na miezi 6 ananyonya.
Alijifungua Kwa kisu.
Alipobeba hiyo mimba wakamwambia wewe inabidi uwahi tu kabla hata ya siku tukupasue....Cha moto alikiona..kidonda kibichii kinafumuliwa Tena uwii[emoji3064]