Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,216
- 185,101
Wanawake wengi tuna hii tabia bora wawe wanatununulia wenyewe eti upewe hela mkononi na una mambo yako binafsi mia kidogo unashangaa hela imetosha hujanunua ulichoombea hio hela!!
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ dah