Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,679
- 208,842
Inabidi turudi shule kusoma rangi Saint AnneDark green
Na mgomba wa ndizi, ile kijani ya mpauko
Inabidi turudi shule kusoma rangi Saint AnneDark green
Na mgomba wa ndizi, ile kijani ya mpauko
Kwani shangazi wewe saahizi ni nani?[emoji23][emoji23] ndio ukweli..
Kwani shangazi wewe saahizi ni nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi turudi shule kusoma rangi Saint Anne
Hizi rangi huwa Mimi wa kishua na dada wa gram hatuhangaiki nazo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi turudi shule kusoma rangi Saint Anne
Mzigo wako mwingine huu Shangazi utaukuta, unapiga chapati na hizi unashushia 😁😁[emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasahivi mimi ni shangazi...
Hebu tulia kwanza [emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096]
Cream.. si ile inafanana na broken white?Yaan hapo sasa ndo ikae cream, weee mbna kaka mkubwa lazima awehuke.
Hiyo rangi hapana, ila kwako una enjoy the loookin bas poaaa.
HatariTunajuana ndiyo
Nilivyoanza kutumia Samsung anauliza eti ni yako?[emoji23][emoji23][emoji119] Jinga sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule fan wa simu nzuri nzuri tu. ..
Ulikochotwa hisiaNifongokie wapi?
Mbaya ipi?Nimeshangaa
Umeanza tabia mbaya
Mzigo wako mwingine huu Shangazi utaukuta, unapiga chapati na hizi unashushia [emoji16][emoji16]View attachment 2216599
HapanaUlikochotwa hisia
Ewaaaaaah yeaaa broken whiteee.Cream.. si ile inafanana na broken white?
Vipi brown curtains? Ni mwakeee pia
Sio nainjoy… kitu kimetulia… depends na vingine vilivyopo [emoji39][emoji39]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka.
Na mimi nisemaje sasa?
KinomaHatari