Hahha iyo michezo hapana unaweza kuwavunja watu mbavu
Na hivi nilivobonge nikianguka nitakuwa kama kiroba sema netball nikicheza dakika tano nahamia kuchezesha najifanya referee
kumbe Mambo mazito
Sent from my Infinix X650B using
JamiiForums mobile app