Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Kazini so hautaki kuwasababishia dhambi watahiniwa? Vaa tu uselfike for me puliizSijaelewa ma mchungaji kamba Monday nivae kwa job au nimeelewa vibaya??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazini so hautaki kuwasababishia dhambi watahiniwa? Vaa tu uselfike for me puliizSijaelewa ma mchungaji kamba Monday nivae kwa job au nimeelewa vibaya??
Kwanza ukaoge ndio uje kunipangia maisha 🤣🤣Hebu panga kwanza kagodauni
Ila watu wana maneno hapa mjini
RIP smart912
Siyo kuringa tu but you trully deserve anything that this world has to offer...from any man!Kwahiyo niringe sio
Asante msukuma!!
Itakuwa Lile kabati langu la handbags alilohisi nipo dukani
Nikajifunze kuogaKwanza ukaoge ndio uje kunipangia maisha![]()










Huduma yako iko wapi Baba Mchungaji? Uyole ama?Nipo mwana wa Mungu![]()
Sasa mambo ya kuchambana tena...?Bachelor hali kande? Nyie watoto wa Dar mna mambo…
Wali kanunue rice cooker, ilo sio rice cooker…
Hilo tunanunua sisi wala makande, maharage na michemsho.
Nishachanganyikiwa mie ngojeni kwanza nipumzike kidogo fahamu zinirudie


😅😅😅Sasa mambo ya kuchambana tena...?
Umeikumbuka?
Mama Junia sijakuonaNikajifunze kuoga
Akiyanani
Hafu nipange kagodauni kwanza

Yeah!Mambo yako hayo
Mizigo Express
Ila li mahondaw lizuri





