spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,120
- 21,810
Sikuona hii[emoji39][emoji39] upate na pilipili iliyokolea limao ni hatari.Kweli na ukwaju pia
Watu kama tuna mimba changa [emoji23][emoji23]
Sema kweli?Sikuona hii[emoji39][emoji39] upate na pilipili iliyokolea limao ni hatari.
[emoji23][emoji23] wala hataNikadhani
Unataka kumtoa out
Nimeomba msamaha mara nyingi hutaki kunisamehe sa nfanyaje? Wewe niroge tu[emoji17]Si nilikwambia uombe msamaha ukaleta ujeuri wa Kinyaki? Haya sasa tutaona...na hapa nilipo niko safarini kwenda nyumbani Gamboshi kwenye mazagazaga kama yote. Msamaha utauomba tu hata kabla Yesu hajarudi [emoji123][emoji123][emoji123][emoji16][emoji16]
Yeah vocha haina komlpikesheni kama hela!!Nawaona wabunge wenzangu tukiendelea kupitisha sheria nzuri nzuri
Kweli napenda chips mno [emoji39]Sema kweli?
Umeamkaje dogo?
🤣🤣🤣🤣 Kuna mtu nataka nimfunze adabu🙈🤸🤸🤸Mzee mwenzangu una mechi nini? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Acha tu hapo inanoga balaaSikuona hii[emoji39][emoji39] upate na pilipili iliyokolea limao ni hatari.
Umeamkaje rafiki?Acha tu hapo inanoga balaa
Maisha ni haya haya [emoji23]
Nipo poa vipi wewe ?Umeamkaje rafiki?
Eti mzee wa vocha😁Kweli napenda chips mno [emoji39]
Nimeamka salama mzee wa vocha, hali yako??
Ela tayari tunazo tulitafuta sana ujanani sasa uzeeni tunaamka tukatumie tuuAmkeni mkatafute hela za watu za rejesho/ kibati/ vikoba/ kodi nk
Safi, nipo poa piaNipo poa vipi wewe ?