Na mimi nimeamka salama ila nimeamka na majonzi tuuu kwa kuikosa selfie yako ya usiku best nimeambulia sifa tuuuNipo poa vipi wewe ?
Na mimi nimeamka salama ila nimeamka na majonzi tuuu kwa kuikosa selfie yako ya usiku best nimeambulia sifa tuuuNipo poa vipi wewe ?
Shikamoo madamYeah vocha haina komlpikesheni kama hela!!
Kwa kweli, picha yako ni kitu adimu sana humu ndani.Eti mzee wa vocha
Nimeacha sasa hivi sipost tena vocha
Nitaselfika tuuu
Selfika basi tuianze sabato vzrSafi, nipo poa pia
Shikamoo madam
Nimekuhamu best
Karibu rafiki.Waungwana kwema, naweza kujumuika nanyi?
Ziko nyingi sana muulize mama mchungaji Heaven Sent anaushuhudaKwa kweli, picha yako ni kitu adimu sana humu ndani.
Thank you boss lady 😘Nipo mr vocha... mekuhamu you more best!!!
Namie Leo nitajitahidi nipige mpya nione japo Kamera inazingua kweli kweli yani!Selfika basi tuianze sabato vzr
Karibu sanaWaungwana kwema, naweza kujumuika nanyi?
Saivi au badae best ???Thank you boss lady 😘
Usisahau kuselfika best
Hii naisubiri kwa hamu kweli kweli sibanduki hapaNamie Leo nitajitahidi nipige mpya nione japo Kamera inazingua kweli kweli yani!
Muulize mgeni ana hela?Karibu sana
Shusha mzigo sasa hivi madam mapemaaaaaaSaivi au badae best ???
Nitakutag nikiweka rafiki.Selfika basi tuianze sabato vzr
Ooh vyemaSafi, nipo poa pia
Mmh!! Naonaga vocha tuZiko nyingi sana muulize mama mchungaji Heaven Sent anaushuhuda

Warmly welcome mkuu... huku ni kuselfika tu mkuu...haya tupe intro ya selfii yako basi ili ukaribie vizuri sasaWaungwana kwema, naweza kujumuika nanyi?
Weka sasa hivi mrembo ndiyo mida mizuri hiiNitakutag nikiweka rafiki.
Ahsante na kwako pia.Ooh vyema
Siku mpya njema