Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah jaman, tusifanyiane hivi ujue sio vizuri.
Si nilikwambia uombe msamaha ukaleta ujeuri wa Kinyaki? Haya sasa tutaona...na hapa nilipo niko safarini kwenda nyumbani Gamboshi kwenye mazagazaga kama yote. Msamaha utauomba tu hata kabla Yesu hajarudi [emoji123][emoji123][emoji123][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom