Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Sina jambo sina jambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo hii kun jambo, khaaah.
Ah bomgo hip hop[emoji2]
Sina jambo sina jambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo hii kun jambo, khaaah.
Huyo anajiweza[emoji28][emoji28][emoji28]Utoage sasa na hela ya saluni.
[emoji23] bila hiyo chips haijakamilika.Niwekee na mayoinaise
Chipsi hizi
Utukufu wa mwanamke ni nyweleMimi ni kigeu geu siwezi kunyoa kiurahisi
Weka we kwanza bestNa wewe rudia best ulifuta haraka sana
Kwan kutoa hela ni kwamba mtu hajiwezi jaman msitufanyie hivo.Huyo anajiweza[emoji28][emoji28][emoji28]
Unaachaje lakini?Naachaga na kurudii...naweza kuacha leo kesho nikarudia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli na ukwaju pia[emoji23] bila hiyo chips haijakamilika.
Usinishtaki basi?[emoji16]Kwan kutoa hela ni kwamba mtu hajiwezi jaman msitufanyie hivo.
Yaan sahivi nikiweka kiduku changu, najiona Dunia nimemalizaaaEeh bei za mjini hizo
Ooh wanakunyoa vizuri na unapendeza nacho
Nimekwenda kwenye friji nimekuta kweli kuna likopo la Mayonnaise dah! Sijui nitaambia nini watu [emoji16][emoji16][emoji16]Navyoipenda hii kitu sasa.
Ooh sahihiUtukufu wa mwanamke ni nywele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena atoe haraka sana.Mwambie atoe ule mkabrasha usoni ndio aweke tena.
KabisaOoh sahihi
Nywele zapendesha pia
Chizi wee.Sina jambo sina jambo
Ah bomgo hip hop[emoji2]
Niletee ulanzi bhana mlongo. Khaaaah
Eeh lazimaYaan sahivi nikiweka kiduku changu, najiona Dunia nimemalizaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli na ukwaju pia
Watu kama tuna mimba changa [emoji23][emoji23]
Mmeanza kumharibu mtumishi Saint AnneChizi wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo umepatwa na nn?