Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220506_192654.jpg
 
Mi mwenyewe kampala kumeniharibu sana kimavazi! Nivile tu sio mlevi wala muenda club kabisahapo tu ndipo naposhukuru Mungu ila vingine aarghh nawakubali sana kampala ila chakula chao ndio kimenishinda kabisa... hawajui kupika vizuri
Pale KLA

Ni mtwaro zako tu[emoji1787]

Ni vile wanavaa suruali na body zao

Hatari
 
Hahaha... naelewa naelewa vizuri..
kule weka usipokua na makava imekula kwenu![emoji6]
Ukute hapo kakupa

Ile style ya simba kakosa windo[emoji1787]

Ni Balaa[emoji1787]

Mmakonde sijui myao akasome

Uno linapigwa mjegejo ukiwa in

Utashangaa unarasimishwa mto kagera

water bed inahamia mlipo[emoji2089][emoji95][emoji3]
 
Back
Top Bottom