Vocha nimeacha sasa ni kushusha vitu live bila chengaMmh!! Naonaga vocha tu![]()
Kama nilichoshusha juzi si ulikuwepo na ulishuhudia bila emoj au muulize Tinsley
Vocha nimeacha sasa ni kushusha vitu live bila chengaMmh!! Naonaga vocha tu![]()
Ooh vyemaNa mimi nimeamka salama ila nimeamka na majonzi tuuu kwa kuikosa selfie yako ya usiku best nimeambulia sifa tuuu
Utaikuta sitafutaWeka sasa hivi mrembo ndiyo mida mizuri hii
Baadaye tutakua kwenye ibada nitaikosa

Kelsea ......
Madam mwenyeweMjep best sina mpya Saivi ngoja kwanza niende shamba nikapaliepalilie kidogo nikirudi nikatulia nitapiga mpya kama kamera itakubaliView attachment 2214892
Huchezi mbali wewe ni nomaa
Mweh ...wenye Shepu wapo bana mkuu sio Mimi!Madam mwenyewe
Mtoto mwenye shepu lake matata❤❤
Wewe ni balaa lingine
Malizia "Live bila chenga"😁Niliona picha yako
hahahaaaa... hii nimeiwahi ya juzi niliikosa!!Huchezi mbali wewe ni nomaa
Nipe pole kwa kuirudia basi best, mtoto mwenye lips za dhahabuOoh vyema
Eeh pole aisee
Happy Sabbath day dear!!😘Niliona picha yako
Nimeshusha mzigo hapa live bila shaka umeshuhudiaSasa si uweke tena jaman sijawah kukuona kabisa
Kila la heri bossladyNiende shamba sasa badae wakuu!!
Brother you killed itHere we go!![]()
Asante mkuu bila sie mijini mtakufa njaa mjue!!😉Kila la heri bosslady