Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

coca mie wa kupitwa hivi? Kwanza ngoja nianze mambo yangu ya kuchangamsha MMU,
Tena nna ubuyu pambeee huo, kheeeeh nikikaa vizur ntaumwaga usiku mnene.
Anza kumwaga taratibu mdogo wetu..

Hadi mimi nimekushinda.
Nilitumiwa na mtu..nikausikiliza nikaona mzuri..
Ndo wimbo wa Alikiba mzuri kuliko zote ukitoa ule wa Nakshi mrembo.
 
Umeipumzisha tena reaction ya kicheko?🤣
Elo
Oo
Vii
Ii
Wai
Oh
Yuu
I love youu

Sasa nimeshakua nimeshajua...
Sitaki Tena kulia......

Kassim🔥
Kassim anaimba yule boya, anabembeleza chaaa.

Lalalalalallaalaaaaaaaa
Tazama sura yako ilivyo nzuri
Macho mazuri, najihisi rahaaa
Tazama midomo yako mizuri
Miguu mizurii, najihisi raahaa
Tazama unavyonipendeza nipendezaaa, Najihisi rahaa
Tazama ninavyokupenda Nnavyokupenda, Najihisi rahaa
Napenda unavyoniheshimu kiukweli japo sio sana nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio sana nakuomba zidisha

Wanaosema asali inazidi utamu kuliko mapenzi nakataaa
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa ayaayaaya

Usiende kwa mganga (usiendeeee baby wangu)
(Usiende mpenzi wangu)
Nisikize mpenzi wangu
Lalalalalalilihaaa lalahaalaaah
 
Kassim anaimba yule boya, anabembeleza chaaa.

Lalalalalallaalaaaaaaaa
Tazama sura yako ilivyo nzuri
Macho mazuri, najihisi rahaaa
Tazama midomo yako mizuri
Miguu mizurii, najihisi raahaa
Tazama unavyonipendeza nipendezaaa, Najihisi rahaa
Tazama ninavyokupenda Nnavyokupenda, Najihisi rahaa
Napenda unavyoniheshimu kiukweli japo sio sana nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio sana nakuomba zidisha

Wanaosema asali inazidi utamu kuliko mapenzi nakataaaa
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa ayaayaaya

Usiende kwa mganga (usiendeeee baby wangu)
(Usiende mpenzi wangu)
Nisikize mpenzi wangu
Lalalalalalilihaaa lalahaalaaah
Mimi simuelewagi ila huo wimbo wa I love you alimaliza kazi 🙌
 
Anza kumwaga taratibu mdogo wetu..

Hadi mimi nimekushinda.
Nilitumiwa na mtu..nikausikiliza nikaona mzuri..
Ndo wimbo wa Alikiba mzuri kuliko zote ukitoa ule wa Nakshi mrembo.
Mambo mazuri yanakuja,
Yaan siamini km kweli kiba ana wimbo mpya, mbna ningejua, mie kiba 4 real tangu zaman, ngoja niutafute huo wimbo.
 
mwenzio nasubir handbags OG kutoka Turkey, na Raba Kali kutoka USA, huu mwaka mbna watu watanikoma,
Likizo vacation IBIZA.
a cant wait kwa kweli, oooooohhhhppppssss.
Utanitoa roho shosssss! Utanipasia Handbag moja mpambe😜😜🤣🤣🤣!!! kwakweli mungu amjalie afya njema na maisha marefu sponsor!!😂😂😂😂
Usinisahau kadi tu shos nije nichezeeeeee kama chizi!
 
Mambo mazuri yanakuja,
Yaan siamini km kweli kiba ana wimbo mpya, mbna ningejua, mie kiba 4 real tangu zaman, ngoja niutafute huo wimbo.
Siyo tu wimbo mpya,bali mkali kuliko nyimbo zote hapa bongo.
 
Utanitoa roho shosssss! Utanipasia Handbag moja mpambe!!! kwakweli mungu amjalie afya njema na maisha marefu sponsor!!
Usinisahau kadi tu shos nije nichezeeeeee kama chizi!
Sponsor km sponsor?
Card mbna nitagawa mapema mnoo, tena wadau wa selfika, watakua ktk kamati mbali mbali.

Usichukulie serious, hahahahah.
 
Sponsor km sponsor?
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Card mbna nitagawa mapema mnoo, tena wadau wa selfika, watakua ktk kamati mbali mbali.

Usichukulie serious, hahahahah.
hahahHa...... niache nichitchat kusogeza masaa mie 😜😜!! 🤸
 
Back
Top Bottom