Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🔥🔥 Itakuwa safi sana jana watu wote walibaki wanakukodolea macho.. washikaji wote wa kijiweni roho ziliwatoka kila mtu anaomba namba, wananiuliza ulishuka na yule malaika kutokea wapii.. ama kweli wewe malaika 😁😁😁
😂😂😂 uliwapa no au uliwabania?

Kesho mapema sana, tunaanzia lunch hadi dinner😋
 
siwezi toa namba kwani mie sitaki maujiko ya kuambatana na malaika mtoto mkali harusu yako ilivyo tamu si gucci wala nini hazifui dafu hadi asa hivi bado ipo kichwani 🙂🙂🙂

Grahams mzee
Usimtag babu jaman, jana nilimuaga naenda kitchen party.
Sasa akiona hivyo italeta noma kesho anifungie ndani
 
Back
Top Bottom