Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,863
- 37,614
Yes,lamata kwenye jua Kali kiukweli anajitahidiOoh nice
Naona watu wanazisifia kweli ..lamata leah ni director anayejua kweli .
Yes,lamata kwenye jua Kali kiukweli anajitahidiOoh nice
Naona watu wanazisifia kweli ..lamata leah ni director anayejua kweli .
Huifahamu? Yaan bonge la tamthilia aseeeeh.Hiyo siifahamu
Mweee
Hongera kwakweliMimi sijui ila niko interested nazo
Napenda keki kwa kweli..kwahiyo napika tu za kuvurudisha mdomo nyumbani.
Wee hujuiagi sasa vitu konkiiii, kile ni hatareeehKikali Gani!?
Kinawaka kama satini![]()
SawaHuifahamu? Yaan bonge la tamthilia aseeeeh.
Fanya uione utaniambia.
Ooh kumbeMbna hadi movie za ngumi kaongoza yule.
Mie namfatilia tangu miaka ya 2009.
Itafute.Sawa
Ngoja nianze kuifuatilia

Anajua mnoo.Ooh kumbe
Basi anajua aisee
Pongezi kwake
Ooh vyemaYes,lamata kwenye jua Kali kiukweli anajitahidi
Kama niliisikia hiiAnajua mnoo.
Alitoaga filamu ya mauaji ya albino.
😂Wee hujuiagi sasa vitu konkiiii, kile ni hatareeeh
LuluWale tunaopenda mishono View attachment 2207886

Hatari sana 🔥Wale tunaopenda mishono View attachment 2207886
Wizoo tuache na pichaJamani mtt wa Abiudi acha nilale
Kesho nayo siku
Na kwenye yebo upo😍🔥🔥
OK,kiukweli mi sio mpenzi wa movie,tamthilia kihivyo, kawaida tu!Ooh vyema
Mimi nafuatilia sana soap opera za nje hapo yani nimekuwa addicted mno .
Yeah hii nataka nishoneLulu![]()