Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978





nacheka mimi





nacheka mimi
Nimetuma dada ebu panda juu ukoHivi umetuma picha kweli?
Hivo hivo mwambie ageuke kuna mtoto hapa hataki kunywa ujiMdogo wetu akigeuka watu watakimbizana ni vile kamfanana sana baba akee
Hakuwa na taarifa kabisaaaAuntie yangu huyo alikuwa hajui kama we shem wangu eenh
Ngoja kwanza mbona niliona Depal amejicc mwenyewe
Hahhaha basi karma ameshanifungulia code
Kati ya wakwe zangu wooote, yule nimemvulia kofia.Unasemaaaaaaa?? I'm off the market. Au unataka nimuite yule mwanasiasa aje akupige fix tena?

Alpellahau snickers
Hebu tulia we mtoto.Nataka kuuzwa etiiiiiiii
Mungu anakupenda sana.Yaani sura na umbo kila kitu cha shangazi jamani sijui nimemkosea nini Mungu mimi
Nimetuma dada ebu panda juu uko
Kiarabu sikijuwi mkuu nazuga tu,Mannoon ndo nini.Mamnoon Mamnoon
Hivo hivo mwambie ageuke kuna mtoto hapa hataki kunywa uji



Ili amtishie mtoto anywe uji
Nikigeuka nitakimbiwa"Mabaharia vipi mbona mnaremba??"
"Haturembi sisi tunangoja ageuke!!"
Jamani makofi na vigelegele
Naimba tu mimi jamani
Hahahaah uko juu bwanaWapi??
Nimemjua hivi kumbe ni mtu mmoja yuleUmeshamjua eenh??
Haaahahaa mkuu nikiwaambia unavyosema wataniona bonge la fala.Demu wa kizungu napata mpambanaj?
Kwahiyo auntie unaniuza basi kama unaniuza huyo mwanaume awe na mahela sio mafurushi mimi siyatakiHebu tulia we mtoto.