Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

KONECTION.jpg
 
Mtumishi Mimi kwa upande wangu; mabinti wengi ninaofahamiana nao na wapo above 30; wengi wamejikuta umri huo bilabila kwa sababu ya uvumilivu/loyalty yao. Walianza mahusiano high school na wengine vyuoni na hao maboyfriend wakiwa na matumaini ya kuja kuspend the rest of their lives pamoja. So hata walipotokea watu wengine wenye nia za kuwaoa; wao walikataa kwa sababu waliamini tayari wana mahusiano yao serious yatakayozaa ndoa. Wanaume walipoanza kusimama kiuchumi ndiyo wengi walianza kuonesha makucha yao and eventually waliishia kuwaacha Wanawake wao wa zamani; wakaoa mabinti wapya kwao.

Wanawake Mungu atusaidie tu kwa kweli; unakaa na mtu mkihustle miaka na miaka afu unakuja kuachwa solemba. Umri umeshaenda jamii inakusimanga, huku bado unaonekana ni malaya umetumika miaka mingi na ex wako, umebaki na majeraha ya moyo. Ila pia ungemuacha huyo mwanaume wakati bado hajiwezi kiuchumi, ukaenda kuolewa kwingine; ungelaaniwa hadi makaburi ya kwenu teh.

Sio tu Wanawake hatujui tunachotaka, hata wanaume hawajui pia wanachotaka. Na kiukweli wapo wanaume wengi tu ambao wameoa bado uchumi wao ukiwa unasuasua; ila bado comments za wanaume zitakufanya uhisi wote waliooa wana hela au kwenye ndoa zao hawapitii changamoto za kiuchumi kabisa; yaani hakuna wanaume waliooa ambao hawana hela.
Tumeoa na bado hatuna hela na uchumi wa kibishi. Yani ningesubiri niwe na kila kitu ndio nioe huenda ningekuwa bila bila hadi leo walau tunajivunia ma-junia
 
Umegusia jambo la msingi sana. Wenzetu wanapambania legacy. Yaani ni kitu cha muhimu sana kwao. Wakiondoka watakumbukwaje. Unakuta mtu anaishi maisha ya kawaida kumbe ana vimilioni vyake kadhaa ameviweka kwenye trust na ameandika will kabisa kuwa akifa vyote vipelekwe kwenye chuo au shule fulani vikajenge jengo ambalo litapewa jina lake iwe kama kumbukumbu ya kudumu. Ndiyo maana ukienda kwenye vyuo vikuu vyao utakuta majengo karibu yote ni majina ya watu. Utakuta SYB School of Economics. Ukiulizia huyo SYB alikuwa nani utapewa historia yake yote na kiasi cha pesa alichotoa kujenga jengo hilo. Na uzuri majimbo mengi pia wana matching program. Yaani SYB akitoa milioni 10 kujenga jengo serikali ya jimbo nayo ni lazima itoe milioni 10. Hivyo mjengo wa dola milioni 20 unajengwa lakini unaitwa kwa jina la SYB kwa vile ndiye initiator. Legacy!

Na tabia hii ya kukazania legacy ndiyo imewafanya kwa kiasi kikubwa waondokane na ufisadi huu wa kijinga kama tunaofanyiana huku. Huwezi kula hela za barabara au za visima vya maji kwa sababu kwanza utafungwa na utaharibu legacy yako mazima. Wenzetu hawawazi tu matumbo yao na familia zao. Ndiyo maana hata utajiri wao ni generational. Watoto, wajukuu, vitukuu, vilembwe....kamwe hawatakubali jina la familia life na watapambana kufa na kupona kuhakikisha kuwa biashara inaishi. Akina Ford. Akina Toyota. Akina Benz. Akina Boeing.....

Wonderful
 
Back
Top Bottom