Jf imejaaliwa aiseeWarembo wa JF
Wakati mwingine mnavumiliaga ujinga pia..Kabisaa, me nashangaaga, mdada akichelewa kuolewa, ooh alikua anachagua sana, ooh alikua anadanga etc etc.. hivi wanajua upande wa pili ni vitu gani huwa vinaendelea kweli ?? Wanawake tunavumilia sana sanaa basi tu..
Msi-play sana the victim card basi jamani. Hata nyinyi kuna wengine ni pasua kichwa aisee. Try to be objective a bit na msituwishe kila kitu sisi ohoo!Kabisaa, me nashangaaga, mdada akichelewa kuolewa, ooh alikua anachagua sana, ooh alikua anadanga etc etc.. hivi wanajua upande wa pili ni vitu gani huwa vinaendelea kweli ?? Wanawake tunavumilia sana sanaa basi tu..
Ujue mbususu yako haikuwa tamu ndio maana hajarudi tenaInauma sana
Unajiuliza maswali weh hujapata majibu
Polepole broUjue mbususu yako haikuwa tamu ndio maana hajarudi tena

Hahaha hiyo sio sababu bhana ya mtu kukuacha .Ujue mbususu yako haikuwa tamu ndio maana hajarudi tena
Ila ndio hivyo hamtaki kuolewa na jamaaa wa jfJf imejaaliwa aisee
Kuna warembo humu
Pole pole wapi hawa wanatusimanga na kututeremshiaga matusi oh kibamia, kanichafua tuu🤣🤣🤣🤣Polepole bro![]()
Mapenzi popote kuleIla ndio hivyo hamtaki kuolewa na jamaaa wa jf
Ujue mbususu yako haikuwa tamu ndio maana hajarudi tena
Hahaha We are not playing the victim jamani, hii inaenda pote pote, it’s true kuna wanawake wasumbufu hawaridhiki, yes wapo, ila tunasemea ile mdada akichelewa kuolewa watu wote wanamuona yeye ndio ana tatizo bila kuangalia upande mwingine pia..Msi-play sana the victim card basi jamani. Hata nyinyi kuna wengine ni pasua kichwa aisee. Try to be objective a bit na msituwishe kila kitu sisi ohoo!
On a serious note kwa kiasi kikubwa nakubaliana nawe. Wanaume sisi haturidhiki yaani. Yaani maisha yakinyooka vipesa vikakubali basi huyoo kiguu na njia kutafuta michepuko. Huyu uliyehangaika naye ambaye kwa sasa atakuwa na watoto kadhaa na pengine uzuri wake ushaanza kufifia unaanza kumwona hafai. Na wakati mwingine unakuta mtu kabahatisha mke ambaye hana makuu lakini ndo hivyo sasa. Hata sijui tatizo ni nini yaani...
Ila Mungu naye si Athuman ati! Wengi wao huwa na mwisho mbaya sana huko uzeeni kwa sababu wanakuwa wameshaharibu kila sehemu. Vihela na tuvyeo vyao vikifikia kikomo tu ndo moto unawawakia sasa. Inahuzunisha!
Ila wewePole pole wapi hawa wanatusimanga na kututeremshiaga matusi oh kibamia, kanichafua tuu![]()



Kwani tunasema uongo basi....nyie ndio mlivyo mnapenda sana kuplay victim kumbe hamna lolote. Mengi mnajileteaga wenyeweIla wewe![]()
🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Uwanja kama wa Ilboru
Warembo mpo wa kutosha kabisaJf imejaaliwa aisee
Kuna warembo humu
😀😀😀👐🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Nimekubaliana nawe kabisa kabisa...hayo nadhani ni madhara ya mfumo dume tu. Kila tatizo anabebeshwa mwanamke. Na haiishii hapo tu. Binti akiolewa halafu akachelewa kupata mtoto anayelaumiwa ni mwanamke hata kama mwenye tatizo ni mwanaume. Ndivyo jamii yetu ilivyo!Hahaha We are not playing the victim jamani, hii inaenda pote pote, it’s true kuna wanawake wasumbufu hawaridhiki, yes wapo, ila tunasemea ile mdada akichelewa kuolewa watu wote wanamuona yeye ndio ana tatizo bila kuangalia upande mwingine pia..
😜😘😀😀😀👐
Mwanamke anayejielewa hawezi kukwambia hivyo hata kama kweli una kibamia cha kufa mtu. Na hata akisema hivyo we si umeshamchafua? Na kupiga bao (kumchafua) si ndiyo lilikuwa lengo lako? Kwa nini uumie wakati umelinda heshima ya ukoo (japo umeharibu CV)?Pole pole wapi hawa wanatusimanga na kututeremshiaga matusi oh kibamia, kanichafua tuu![]()



