Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
NdivyoHahahaha wewe [emoji23]
Greg is just a friend jamani
Inavyoanza
NdivyoHahahaha wewe [emoji23]
Greg is just a friend jamani
DuhNimekubaliana nawe kabisa kabisa...hayo nadhani ni madhara ya mfumo dume tu. Kila tatizo anabebeshwa mwanamke. Na haiishii hapo tu. Binti akiolewa halafu akachelewa kupata mtoto anayelaumiwa ni mwanamke hata kama mwenye tatizo ni mwanaume. Ndivyo jamii yetu ilivyo!
View attachment 2195487
MkekaIle pombe tu ishachana mkeka.
Sitaki mtu mlevi.
Hamna bhanaNdivyo
Inavyoanza
[emoji16][emoji16][emoji16] Alisema sio yeyeKomaa
Kuna lilevi (sijui litaona[emoji2297])
Linamvutia kasi
Eti wakaongelee
Mke ndio huyo
Msabato
Halafu ulimuona kwa daladala[emoji1787][emoji2089]
Akiangalia kwa dirisha
Ulidhani mimi ni nani sasa?Mkeka
Ulichanika Dk ya kwanza
Nilivyojua wewe ni Dada
Ndio si mimi [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Alisema sio yeye
Nye nye nyeeHamna bhana
Just friends
[emoji23][emoji23]Nye nye nyee
LocationLeo naenda kukimbia kimbia tu!View attachment 2195557
UmejuajeDuh
Siyo wote wanataka kuzaa mapema wakishaoana.
Ground la kitaa!!![emoji12]Location
Kuna watu wengi tu wapo kwenye ndoaUmejuaje
Kwani umeolewa
Lini na nani
Nikiwa wapi[emoji848]
Mbona sikuelewiSi
Nimesema Dada
Ama hujasikia
Kuna kitu kinashindikana kwa Mungu mkuuOna sasa. Mzee wa miaka 83 bado mtambo wake wa Nyuklia unafanya kazi. Ila ningemshauri apime DNA mapema. Kuna uwezekano mkubwa wa kubambikiwa (hasa kama ana vihela) [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata Mrema anaweza akapata mtoto...Kule Naija nako Rais wa zamani Gen. Obasanjo nasikia kavuta pisi iko mid 20s japo naye yuko huko kwenye 80s. Men!
View attachment 2195561
Sema tuje tujumuike pamojaGround la kitaa!!![emoji12]
Karibu Pale pale pa kila leo Tena Mazoezi mkiwa kampani yanaendaje zaidi!Sema tuje tujumuike pamoja
See[emoji16]Ndio si mimi [emoji23]