Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Sio kuplay victimKwani tunasema uongo basi....nyie ndio mlivyo mnapenda sana kuplay victim kumbe hamna lolote. Mengi mnajileteaga wenyewe
Wanawake tunapitia mengi bhana mtuonee huruma
Sio kuplay victimKwani tunasema uongo basi....nyie ndio mlivyo mnapenda sana kuplay victim kumbe hamna lolote. Mengi mnajileteaga wenyewe
Yaani miaka 20 tu kamkatia tamaa mwenzie 🙆🏻♀️🙆🏻♀️.. Ana mapepo huyo kaka.. Ila kanda ya ziwa nao wamezidisha mfumo dume khaa!!!Nimekubaliana nawe kabisa kabisa...hayo nadhani ni madhara ya mfumo dume tu. Kila tatizo anabebeshwa mwanamke. Na haiishii hapo tu. Binti akiolewa halafu akachelewa kupata mtoto anayelaumiwa ni mwanamke hata kama mwenye tatizo ni mwanaume. Ndivyo jamii yetu ilivyo!
View attachment 2195487
Halafu unakuta pengine mwanaume ndiyo mwenye ishu. Wanaume wengi hudhani kuwa kwa vile wanaweza kupiga bao basi otomatikale wana uwezo wa kutungisha mimbaYaani miaka 20 tu kamkatia tamaa mwenzie.. Ana mapepo huyo kaka.. Ila kanda ya ziwa nao wamezidisha mfumo dume khaa!!!
Na mkoa wa Mara kule ni mchaka mchaka ng'wanawane. Hata wanawake wa huko nao hawataki ujinga...


Aah dadake Junia atatoboa tu, Mungu ni mwema sana. Huko wenzetu nisiseme kwamba hawajali sana kuhusu familia; ni kwamba majority wanahangaika kuhakikisha mwisho wa maisha yao wanaacha alama ya kudumu kwenye maisha ya watu; they are purpose driven. Kila mtu anataka ahakikishe anatimiza kusudi lake hapa duniani; hata siku akiondoka watu bado wataendelea kufaidika na vitu alivyovifanya akiwa hai. Maisha ya kutokujiwazia wewe na familia yako; na kugusa maisha ya wengine zaidi; ndiyo maisha bora zaidi humu duniani. Sisi huku tukishaolewa, tumepata watoto, kanyumba na kausafiri aaaah maisha ndiyo haya; Yesu rudi tu.Haya mambo hayana fomyula mtumishi. Ni sandakarawe ya kukata na shoka yaani (japo makosa mengi anabebeshwa mwanamke)....Mungu na Awasaidie sana kwa sababu hakuna namna ila ni mtihani wa kutisha mno!
Huyu dadake na Junia hapa yeye kasema hatakaa aolewe ila ikiwezekana atapenda kuwa na katoto kamoja tu. Nami huwa namuunga mkono. Ila najua pengine atabadili msimamo akikutana na tall dark guys huko medical school. Baadhi ya magazeti yako unayoandikaga humu (kama lile la leo) nimeyasevu nitamtafsria awe anayasoma. Asante sana kwa huduma yako yenye upako![]()
Ukiwa na conscience; huwezi kumuacha mpenzi wako kwa sababu tu katokea mwingine with a proposal. Kuna watu sio rahisi kuhimili Ile hali kwamba unaona wewe ndiyo sababu ya mtu mwingine kuumia tena bila kosa. Ila ndiyo hivyo tena, unaweza kuja kuachwa solemba teh tehDuh mtu miaka inakatika tu haoi.
Si aoe muendelee kutafuta pamoja.
Unadhani upo kwenye mahusiano kumbe upo single,,,anakuja mtu mzuri tu unamuacha.
Aisee akija mzuri tutembee naye mbele .
Vitenge vinaficha mengi 😀😀😀👐Leo wanja ulivamiwa!View attachment 2195497
Mara moja moja tunajifunga dear
Usisahau mishono konki ma mchungaji!!
Inabidi kuangalia mwelekeo.Ukiwa na conscience; huwezi kumuacha mpenzi wako kwa sababu tu katokea mwingine with a proposal. Kuna watu sio rahisi kuhimili Ile hali kwamba unaona wewe ndiyo sababu ya mtu mwingine kuumia tena bila kosa. Ila ndiyo hivyo tena, unaweza kuja kuachwa solemba teh teh
Hujanipa updates ya mishono mipya uliyoshona. More mishono comingUsisahau mishono konkivma mchungaji!!
Kuna mshono wako fulani ulituma umevaa wewe niliuiba nikivaa nitatupia ucheke huyu fundi alichofanyaHujanipa updates ya mishono mipya uliyoshona. More mishono coming


Shida inakuja pale ambapo "everything seems to be ok". Unaona unapendwa, unajaliwa, unathaminiwa na unaona jinsi mwenzio anavyopambana. Wanaume wengi wasipokuwa na hela eeeeh unasema Jehovah nikurudishie nini. Na hapo ndiyo wengi tunapokwama nao😁😁Inabidi kuangalia mwelekeo.
Unaona kabisa hapa hakuna kitu ila unakaza fuvu kuipambania mahusiano ambayo kumbe mwenzio anakuona single 😂
Haya mambo ni magumu .
Ooh yeahWarembo mpo wa kutosha kabisa
Upi huo bosi ledi?Kuna mshono wako fulani ulituma umevaa wewe niliuiba nikivaa nitatupia ucheke huyu fundi alichofanya![]()
Jana hujasimama nione ule mshono wa ile kaunda na rangi ya kitambaa!Vitenge vinaficha mengi![]()