Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Id ya zamaniWatu hudhan tunachagua [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17], lkn huweza vaa kiatu n kiatu et kisa unashda na kiatu. Yapasa upate kiatu saiz yako ili kiskubane njian ukakivua ukaanza tembea peku, ndoa n safar ndefu kabla ya kuianza yapasa kujipanga haswa usje kuishia njiani.
Hatuchagui bali tunasubir sahh kwa wakati sahhi [emoji4][emoji4][emoji6].......
Nani vile[emoji848]