Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kwenda😃Mimi
Natembea na Isaya 45:3
Hivyo siachi kubet![]()
Unaongelea hii gem mrembo?Hahaha mechi ya jana ulibet ?
Aisee mpira hautabiriki
Dada AnneKwenda![]()



Ila hawa watu wanao pressurize ndoa jamani

Hii ndo naisemeaUnaongelea hii gem mrembo?
Dah,acha tuuu mpira unadunda.View attachment 2194980
Huwezi aminiHahaha mechi ya jana ulibet ?
Aisee mpira hautabiriki



Ooh kumbeHuwezi amini
Niliweka goli 2
Dk 45 za kwanza
Hata hazijaisha ukatiki
Sikutaka kuangalia
Saa hii ndio naona ilikuwa sherehe![]()
NaIla hawa watu wanao pressurize ndoa jamani
Mtu haumfahamu lakini anavyokujibu sasa
" Bado hujaolewa eeh , wewe endelea kuchagua tu , utazeekea nyumbani " .
Haya maneno yanaumiza sana aisee .

😅😅😅Za kikorea ziko too emotional aisee
Me za mamtoni ndio napenda zaidi😍
NilishakwambiaOoh kumbe
Arsenal mpo vizuri
Hata Man U mbona mtawapiga tu

Umemisika babes, uko poa?
Na
Mnachagua hatari
Awe na hofu ya Mungu
Sitaki mlevi
Nataka ensam
Asiwe kibamia na bla bla kibao
Mtazeekea hom nawaambia
Leo nimeamini aiseeNilishakwambia
Kuhusu
Arsenal yetu![]()

Niliassume eti kila mtu anafuatilia Nollywood as I do. Maana Kila nilipokuwa nakatiza ni habari za #ReelDeel2022#Heaven Sent ulipost hapa hii picha juzi kati ila hata sikuelewa.
Ndio naelewa Leo.



Kwa hiyo ukubali tu kuolewa kisa mtu anataka kukuoa hata kama unaona kabisa hiyo ndoa itakuwa na shida kubwa?Ila hawa watu wanao pressurize ndoa jamani
Mtu haumfahamu lakini anavyokujibu sasa
" Bado hujaolewa eeh , wewe endelea kuchagua tu , utazeekea nyumbani " .
Haya maneno yanaumiza sana aisee .
Kumbe handsome boys wana wavuruga akili na mbususu zenuAh wapi
Hatuchagui kihivyo mbona sema wanaume wenyewe wazinguaji ..
Unajua mtu yuko serious kumbe anataka hit and run .
Weh hapana hatatuzekea nyumbani
It shall never be my portion in IJN
Handsome face hao wanashida aiseee unaweza kupata headache za bure .. ya nini kujipa stress .
Ooh Asante sana kwa neno hiliKwa hiyo ukubali tu kuolewa kisa mtu anataka kukuoa hata kama unaona kabisa hiyo ndoa itakuwa na shida kubwa?
Kila mtu mwisho wa siku alichagua mtu aliyeona yeye anamfaa kwa vigezo vyake Hakuna mtu mwenye akili who can throw her life anyhow, lazima uangalie ni nani unamkabidhi maisha yako na kwa sababu gani. Hapo ukurupuke kuolewa kisa umri, uende ndani yakushinde afu m-divorce; bado watakuchamba hadi ukome. Relax babes; "Time and Chance happenneth to them all" Ecclesiastes 9:11.