Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Mweeeh 😂😂😂😂Muda ukifika mbona mambo yenyewe yatajieleza aisee ..
Unaweza mwambia mama au mtu mwingine wa karibu ..
Ngoja wakubwa wakupe uzoefu .
Wananionaga mtoto wa miaka 7
Napelekwa kitoto aisee🤣🤣🤣