Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Heee
Dogo Mimi siyo mdogo kiumri.
Ila Kwa familia yetu Mimi ndio mdogo ..


Sijui huwa wanaogopa hata sielewi.
Basi na mimi najikuta Sina confidence ya kusema chochote

Hata nikipata mchumba sijui itakuwaje aisee..sijui nitamuomba mtu anisemee
Unaongea na mama tu aisee
Sie wenye baba tu ndo mtihani kuwafuta na kuwaambia ..
 
Nikuibie
Ukiona najibishana bampa tu bampa humu ujue niko ghetto nimechill…

Mazingira mengine!? Home, kwa watu or muhindi!! Siwezi
Nitakupuuza tu..


Shindwaaa msichana 🤣 sivai kapu mie
Kwanza sijatoboa.. makapu yenu huko na wenzio 🤣
Mimi msala wa makapu hauwezi Nikita..
Nampenda Bwana siweki vikapu mwishowe fuvu lizidiwe kubeba mizigo ya dhambi masikioni😂😂😂
 
Mama yangu mwenyewe anaongeaga tu mambo mengine
Hajawahi hata..

Nina dada kibao,hakuna aliyewahi niambia.

Nafikiria kwa mfano nimepata mtu,sijui itakuwajenitamwambia nani?
Na nitaanzia wapi??

Muda ukifika mbona mambo yenyewe yatajieleza aisee ..
Unaweza mwambia mama au mtu mwingine wa karibu ..
Ngoja wakubwa wakupe uzoefu .
 
057442685.jpg
 
Back
Top Bottom