Sijapanick mkuu, huyu dogo kuna kipindi aliniambia nimsalimie kabisaa eti kalingana na dadangu baada ya kuona picha yangu!!
Sio wa kumfuatiliza saaaana!
Oooh!!! sehemu poa sana, nakumbuka nishawahi enda weddo moja hivi outdoor weddo by the pool side (The Terrace), with live band halafu bahari kwa karibu...