Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tupe hints kwenye nywele aisee maana dada una uhair hatari .
Relaxer gani unatumia ?
Huwa unafanya deep conditioning ?
Na huwezi amini kwa sshv zimekatika sana tu,japo kwa asiyenifahamu anaona bado nina nywele! Ofcoz bado zipo sana sbb nina asili tu ya nywele!

But shida kubwa ni kupata dawa itakayokupenda,mi nilikuwa natumia Olive oil ya box ambayo kwa ss haipo kabisa,wameleta olive mpya ambazo mi zimenikataa kabisa !
Sijui steaming,conditioner skuwahi kuhangaika na hivyo vitu!
Nilichofanya nimerudi kwenye' Revlon' baada ya kuhangaika! Ni dawa ya zamani haina mambo ya kuchakachua sijui nn!
 
Late lunch
20220408_161351.jpg
 
Aisee pole
Ni kweli wameleta olive mpya aisee , kumbe inachagua hivyo .. hujawahi kutumia Mega

Kha una asili ya nywele yaani hajauwahi fanya steaming aisee bila steaming mimi nywele haiendi . Jaribu kufanya hata steaming ya bamia

Nakumbuka nilihamia kwa olive box then baada ya muda nikarudi kwa dawa ya kopo aisee nywele huku nyuma zilikatika zote nikawa kichekesho .
Ikabidi ninyoe nianze moja
 
Nataka kujua pia,tupia na hair products unazo tumia
Kwa ss nimerudi kwenye Revlon, but nilikuwa natumia olive oil full,ile ya box inakuwa na kila kitu!
Na ss haipo niliyokua natumia,zimekuja nyingi mno hata 10 zinafika! Mi zimenikataa!
Nikajaribu na nyingine nyingi tu zikagomaa!

Huwa sifanyi chochote zaidi ya kuweka dawa basi!
Nikichoja nasuka ila isizidi wiki 2 nafumua,usitumie bodrayer kukausha bora ukae kwenye drayer kawaida, mafuta natumia MPL ,na radiant

Cah mhimu cheki kwanza texture ya nywele zako kabla hujachagua dawa dawa
JPEG_20220408_163430_1430460323.jpg
 
Ooh kweli maana hujazoea kuzivaa .. unaweza kuanza kuzivaa kidogo kidogo utashangaa umezizoea tayari .

Sana sana kuzipoteza ndo rahisi sana , umerudi zako hoi huelewi hili wala lile unaziweka tu popote .
Nishawahi nunua sehemu nilikuta zinauzwa.
Sijui hata nilikotupia
 
Back
Top Bottom