Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,245
Nishaweka mbona[emoji847]Nyoooooooooohhhh! weka nawewe
Nishaweka mbona[emoji847]Nyoooooooooohhhh! weka nawewe
Raha ya kuwa na mwili mkubwa, kwenye moves hutumii nguvu na inabamba😅
Mkuu mbona umeikata?FraideiiiiView attachment 2180207
Nawatamani sema ndo siwezi kuvaa [emoji17].Skuna day ilishapita[emoji3]nasubiri
Accessories day. ...
Wale tunaopenda heleni,Cheni,bracelate nk
Nimeipenda hii kaka, ngoja niitengeze ya style hii
Mashart ya selfika[emoji3]Mkuu mbona umeikata?
eeh vitambi vina umuhimu sana na minyama nyama kama pork 😬😬😬Raha ya kuwa na mwili mkubwa, kwenye moves hutumii nguvu na inabamba😅
Ndio maana ulisema amapiano zinawafaa wanaume wenye vitambi
Haya masharti wakati mwingine hata tusipoyazingatia,hayana madhara kabisa.Mashart ya selfika[emoji3]
Serious?!Nawatamani sema ndo siwezi kuvaa [emoji17].
Huwa navaa za kubana mara moja .Serious?!
Pia hereni ?
OohHuwa navaa za kubana mara moja .
Nzuri zipo kariakoo huku mitaani hamna .
[emoji3][emoji3]Haya masharti wakati mwingine hata tusipoyazingatia,hayana madhara kabisa.
Kariakoo mtaa gani?Huwa navaa za kubana mara moja .
Nzuri zipo kariakoo huku mitaani hamna .
Duuh!
[emoji3][emoji3]Duuh!