tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,830
- 8,246
Tufanye kazi kwanza siku isije ikaharibika 🤣🤣🤣🙌
Tufanye kazi kwanza siku isije ikaharibika 🤣🤣🤣🙌
Haiwezi kuharibikaTufanye kazi kwanza siku isije ikaharibika![]()

Nimeokoka na nampenda BWANANamba 8 ya kimataifa jamani🥰🔥🔥
We Heaven Sent njoo njoo uone dada alivyo na shepuuu🥰👌👌
Sokisiiiiiii🤣🤣🤣
Hata Heaven Sent anajua haya
Ndio nimepewa Authority n power,lkn si lzm niombe ?Tumuombe Mungu au tushughulikie hizo ancestors spiritsmaana kama Authority and Power ulishapewa, Neno unalo.. understand and wisdom vipo
Ni aina gani ya maombi? Hayo maombi una ya direct wapi.. na for case kama hiyo sio issue ya maombi.. ni command.. ukishasema unaomba tayari mnaweza kuwa na mlolongo mrefu 😄😄😄.. maana harisi ya maombi au genesis ya maombi ( ni communion kati ya watu wawili ).. mnaaka mnaanza chapa story..Ndio nimepewa Authority n power,lkn si lzm niombe ?
Ile mamlaka niliyopewa ili ifanye kazi lzm niombe mkuu ile itumike kuondoa hizi mambo!
Anyway I think tunatofautiana kwenye 'understanding' ya neno maombi.Ni aina gani ya maombi? Hayo maombi una ya direct wapi.. na for case kama hiyo sio issue ya maombi.. ni command.. ukishasema unaomba tayari mnaweza kuwa na mlolongo mrefu.. maana harisi ya maombi au genesis ya maombi ( ni communion kati ya watu wawili ).. mnaaka mnaanza chapa story..
Hellow mremboFraideiiiiView attachment 2180207




naona umevaa soksi
Mkuu hiyo avatar yako na ile picha ya jana ya kulalia hazina tofauti kabisa 🤣🤣🙌! Kabisa