Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,221
Sina mpya!Ukilala bila picha ni ugaidi huo![]()
Sina mpya!Ukilala bila picha ni ugaidi huo![]()
Umekula kona 😄😄Nimeplay ya pili kuna watu wamecheka hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
Na yapo mengiii, nahisi ndio mkoa unaongoza kwa mabasi ukiacha DaslamBila kusahau Kidia one
Kuna Tahmeed
Extra Luxury
Kilimanjaro ile mpya ni ya motoo
Kaskazini wana buses bana, ikifikaga muda wa safari nahangaika kuchagua moja wapo.
Tupo karibuHey Dodoma
Hebu ngoja ntamuuliza dogo jina lake, maana yeye ndiyo alinitengenezea collection mwaka 2007Itakuwa kwa jina lingine nacheki kwenye kazi zake.. sioni jina la huo wimbo naona mingine mingine tu
Linaenda pia Dodoma, very classicBm huwa naliona
Ni kali
Kumbe nalo la huko??
I lost nothing yesterday, 7bu nilikuwa 50/50
Nampenda Benzema, hata hapa nilishampost.
Sijaumiaa hata
Say ma name beib
KeiBiii…


raha ya mashabiki wakike wa mpira ni hii hawatesekagi sana...Nakaribia kuibwaUmepotea hadi nahisi wamekuiba![]()

Kuna chimbo hapa naziangalia huenda ikawepo japo baadhi hizi na ambazo kashirikishwaHebu ngoja ntamuuliza dogo jina lake, maana yeye ndiyo alinitengenezea collection mwaka 2007
Macrush kila vilabu 🤣🤣raha ya mashabiki wakike wa mpira ni hii hawatesekagi sana...
Hahaha, The Diplomatics miaka hiyo, thanks Brav umenikumbusha mbali sanaa!Kuna chimbo hapa naziangalia huenda ikawepo japo baadhi hizi na ambazo kashirikishwa
View attachment 2179172
View attachment 2179173
View attachment 2179174
View attachment 2179175
View attachment 2179176
View attachment 2179177
View attachment 2179178
View attachment 2179179
View attachment 2179179
Pia estar,marangu, Machame, tilisho,Lim, meridian nk.Bila kusahau Kidia one
Kuna Tahmeed
Extra Luxury
Kilimanjaro ile mpya ni ya motoo
Kaskazini wana buses bana, ikifikaga muda wa safari nahangaika kuchagua moja wapo.
Nipe kazi ya kukuamsha mimi!Nalala uniamshe saa 17:00 nipike
Esther nimepanda, siku niliyoipanda nilishibia machungwa yale ya bure.Pia estar,marangu, Machame, tilisho,Lim, meridian nk.
Tuko shamba 🤣🤣 we si ulitega
Pamoja na vingine ila hio raba naiamkia!
Jaman mmeenda wenyew kwel, usingz ulinoga.Tuko shamba 🤣🤣 we si ulitega
Gari ya kwanza kuingia dar kutoka kaskazini ni tilisho, nazipenda sana zinatuwahisha sana.Esther nimepanda, siku niliyoipanda nilishibia machungwa yale ya bure.
Marangu na Machame siyaelewagi
Tilisho anakimbia hatari, na mwenzake Kidia