Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Hahahha
Yaani nilikuwa nimesuka crotchet hivi halafu za kumwaga zinaziba hadi masikio .. saa ngapi nizikumbuke![]()



Hahahha
Yaani nilikuwa nimesuka crotchet hivi halafu za kumwaga zinaziba hadi masikio .. saa ngapi nizikumbuke![]()



😀😀😀😀 anakula nyamaaa huyu babuuu wa MichongoAnajishitukia
Huyo mzee wa mchongo![]()
Kimara mwisho
Hata hivyo nilitoka Mbeya nikaenda Dodoma.
Pair 2 buku jero..

Kwa ss nimerudi kwenye Revlon, but nilikuwa natumia olive oil full,ile ya box inakuwa na kila kitu!
Na ss haipo niliyokua natumia,zimekuja nyingi mno hata 10 zinafika! Mi zimenikataa!
Nikajaribu na nyingine nyingi tu zikagomaa!
Huwa sifanyi chochote zaidi ya kuweka dawa basi!
Nikichoja nasuka ila isizidi wiki 2 nafumua,usitumie bodrayer kukausha bora ukae kwenye drayer kawaida, mafuta natumia MPL ,na radiant
Cah mhimu cheki kwanza texture ya nywele zako kabla hujachagua dawa dawaView attachment 2180602
Tufurushwe tusifurushwe hatuondokiKimara mwisho
Pale juu darajani
Bado unauza karanga
Ama mlifurushwa na jiji![]()
halafu awe fundi wa ile game.kudadek😀😀😀 kumbe gonjwa yetu moja asee.. mie awe na tatoo... na awe kachoma nywele flani.. naonga hadi moyo
Namchekiibabuu anakula matunda yake..![]()
Awe na tatoo shingoni sikioni atoboe matundu mengi halafu awe na bleach kichwanikumbe gonjwa yetu moja asee.. mie awe na tatoo... na awe kachoma nywele flani.. naonga hadi moyo
hahahaha hatari sana.. na huwa wanajua huwezi kuta yupo ivyo alafu awe mchovuhalafu awe fundi wa ile game.kudadek
SawaTufurushwe tusifurushwe hatuondoki
Bado nipo.
halafu awe fundi wa ile game.kudadek

Yaani nikumiss sana babu, na nikakupigia ukawa hupatikani wewe na bibi.Nina bahati mbaya Mjukuu, wakati nalima lima bustani Juzi, Miwani yangu si ikavunjika tena🙆
Hapa nimevaa ya Bibi yako tu 🤪🤪🤪
😀😀😀😀😀 umepita mle mle.. tatoo moja iwe kiunoni flani hivii.. na kwenye paja hivi na ingine kwenye mguu na awe kavaa kama kikuu flani hivi na pete kwenye kidole cha mguuAwe na tatoo shingoni sikioni atoboe matundu mengi halafu awe na bleach kichwani
Apendelee kuvaa kitop kifupi nione alivyotoboa kitomvu napenda sana
Akitoboa pussy inakuwa added advantage
Mimi nina nywele nyingi halafu nzito ila sasahivi zimekatika sababu naweka rangi sana,natumia beautiful beginning miaka yote na inanifaa sana,pia natumia cantu(leave-in conditioner sababu nywele zangu kavu,napia nafanyaga deep conditioning natumia dark n lovely conditioner...
Ukitoboa kwa sonara muwe mnapaka spirit kuua vijidudu kwa siku tano na litapona harakaHivi inawezekana hii kitu, nina matobo mawili la kwanza nilitoboa na sindano ya kawaida nyumbani nilipona mapema. Tobo la mara ya pili ilikua mtihan nilitoboa kwa sonara niliteseka zaidi ya mwezi haliponi ila badae likakaa sawa.
Kuna mmoja yupo MAC aiseee siku ya kwanza nimemuona nikasema hata 2million nampa for one night.. hizo vitu zote anazo na ana ngozi kama mtoto 😀😀😀 wanaume Mungu alitupendelea sanahalafu awe fundi wa ile game.kudadek
Mafuta ya nywele je ?
Kuna wakati watu walipenda kuweka rangi ya purple sasa hivi siwaoni sana