G
guest-1790917349
Guest
Mi la kwanza kanitoboa mdogo angu na sindano tu nyumbani,ila la pili nilitobolewa na muuza urembo ndio!Hujakosea sana [emoji23]
Ila yule kaka nilikuwa simuelewi kabisa
Hawa wauza urembo sio wote wanajua kutoboa
Nitaenda kwa sonara siku ikifika
Ni mkaka alikuwa anapita tu,wala sikupata shida!
[emoji3]acha uoga,nilijua tu we muoga