Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi ndiyo hao wa kujiita mabaharia??
Mimi sababu ya uhenga sura yangu imechakaa sitaki kabisa kupiga wala kupigwa picha. Na ni kweli wanaume wengi hawapendi picha labda hawa masharobaro wa kisasa hawa wanaovaa jeans za kubana zilizotatuka magotini na kutoga masikio [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom