Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
kabisa kabisa..kabisa..Dada asiye Na makuu
kabisa kabisa..kabisa..Dada asiye Na makuu
Karibu chamani. Kahawa zako utaandaliwa homeSafi sana.. enjoy mkuu
Safi sana.
Na bia utakuwa unanigawia?

anaza kikohozi babuu... anything wrong??Koh Koh Koh.......🙊🏃🏃🏃🏃
😀😀 kweli mkuu ni jambo zuri sana hilo, kuleni maisha vizuri.Sie bado bado tupo sanaKaribu chamani. Kahawa zako utaandaliwa home
Anagonga mzee.huyu hana noma chief..
Sio wewe, hata mimi ila sina budi, huku nilikohamia hawa wapo kibwena.Nimeshtukaasipatani kabisa na huyo kiumbe
Wanasemaga unamwagia oil chafu.. hawapatani nayo wanasepa au funga vinyani vingi nyoka hakaiSio wewe, hata mimi ila sina budi, huku nilikohamia hawa wapo kibwena.
Karibu tukandamize futari bandugu.Zitatimia insha'Allah
Ramadhan Kareem boss![]()
Tupieni selfie za iftarKaribu tukandamize futari bandugu.

Kemia itapanda kweli bila mimi kumix kabia na akili??Nimestaafu rasmi boss wangu![]()
Ndio nataka nifanye hii harakatiWanasemaga unamwagia oil chafu.. hawapatani nayo wanasepa au funga vinyani vingi nyoka hakai
hahaa.. Anne wee chizi hahahaaa!!Kemia itapanda kweli bila mimi kumic kabia na akili??
Mimi mwenyewe nataka niwe mwanafunzi wakeBoss lady yupo vizuri, ndiyo maana nimeomba ni reseat somo lake, amenihakikishia ufauru wa juu![]()
Lazima tumix hivi vitu hadi akilinihahaa.. Anne wee chizi hahahaaa!!
kwa akili zako hizo nitakupiga makonzi mpaka basi🤣🤣!Mimi mwenyewe nataka niwe mwanafunzi wake
Maabara nyingine kuna gongo tele unaona tu mwalimu ana chupa lake la Maji ya kunywa kumbe anapiga vitu vyake! Hasa wale wazee wakongwe Kazini!Lazima tumix hivi vitu hadi akilini
Mi nimeshakombolewa na damu takatifu ya Bwana Yesu Aliyeacha utukufu wa mbinguni na kuja kunifia msalabaniMpendwa uko kundi lipi au Zumaridi group![]()



Kabisa ... tena tutasoma jioni na weekends... practicals kwa sana ilimradi tu usiwe mvivu!Boss lady yupo vizuri, ndiyo maana nimeomba ni reseat somo lake, amenihakikishia ufauru wa juu 🙈
EwaaaMaabara nyingine kuna gongo tele unaona tu mwalimu ana chupa lake la Maji ya kunywa kumbe anapiga vitu vyake! Hasa wale wazee wakongwe Kazini!