Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
chombo halafu kikali,huwa raha sanaHakika mkuu. Nzuri Sana kumiliki chombo chako mwenyewe.
chombo halafu kikali,huwa raha sanaHakika mkuu. Nzuri Sana kumiliki chombo chako mwenyewe.
Sanaaaaa😎😎😎 tutamu huto sana
uswazi ndio kwenyewe kwa vitu km hivyonipo uswazi kuna dingi katoa tambi moja matata sanaaa
kuzidi 😊😊😊Sanaaaaa
Assume huna nguo nyumbani kwako. Kila ukihitaji kuvaa nguo (na lazima uvae) unaenda kuomba/kununua nguo. Hizo taabu utakazozipata hazisemeki.acha mambo hayoo.. hakuna kinachokosekana kwa asie oa pia.. pattern ya mwandamu tofauti ndio maana wote hatujawa designed kuoa mzeee
Hawezi kukuelewa huyo kijana 😬Assume huna nguo nyumbani kwako. Kila ukihitaji kuvaa nguo (na lazima uvae) unaenda kuomba/kununua nguo. Hizo taabu utakazozipata hazisemeki.
Sasa mke ni zaidi ya nguo. Ni rafiki, ni partner, ni usingizi, ni mshauri, ni mshindani n.k Unakosa vingi asee
Ni za serikalini![]()
Hiyo juice tu😋
Thubutuuuuu!! ukilewa tutakufunga kamba kabisa wewe!!Ah wapi
Nikilewa akili inakuwa fresh.
Kama hapa nimelewa.
😀😀😀 hamna ukweli kwenye kukosa vingi.. inategemea na definition ya mke kwako.. But kwa definition yangu hakuna sehemu ya mwanamke kwamba ana muhumu. Ingawa wenye ndoa nawafurahi nawapongeza na ni jambo jema.. ila sio mke atakufanya uwe complete na pia mke anaweza kukufanya ukawa completeAssume huna nguo nyumbani kwako. Kila ukihitaji kuvaa nguo (na lazima uvae) unaenda kuomba/kununua nguo. Hizo taabu utakazozipata hazisemeki.
Sasa mke ni zaidi ya nguo. Ni rafiki, ni partner, ni usingizi, ni mshauri, ni mshindani n.k Unakosa vingi asee
Karibu😄Hiyo juice tu😋
Dah! umeninyima ila fresh 😎😎Hiyo juice tu😋
tukaribisheni makobelo muone shoo shooo 😀😀😀Karibu😄
Yaani hapa nimeshiba uji na maji miguu juu napeluziii JFKaribu😄
Subiri tulio funga tubakishe kama kitabaki umesikia kobe😬tukaribisheni makobelo muone shoo shooo 😀😀😀
😂😂😂Yaani hapa nimechiba uji na maji miguu juu napeluziii JF
Kweli nimepiga vyomboThubutuuuuu!! ukilewa tutakufunga kamba kabisa wewe!!
wewe wa kunifanyia mimi hivi jamani asalaleee 😀😀😀😬😬😬😬Subiri tulio funga tubakishe kama kitabaki umesikia kobe😬