Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
kn siku niko obay pale shule kumchek.mwl alimkosesha mwanafunzi swali.mwanafunzi akamwambia mwl huna akili.hujielewi
ikawaje??kn siku niko obay pale shule kumchek.mwl alimkosesha mwanafunzi swali.mwanafunzi akamwambia mwl huna akili.hujielewi
ikawaje??PoleSebuleni ndo eneo la tukio
Ilibidi nishinde jikoni tu maana ni karibu na mlango.


Asante yaani .Pole![]()
😀😀😀 hapo teacher angekuwa chizi dogo angejilaumu.. ila usema kweli walimu wa sasa hivi nao maadili hamna.. kuna siku nilikuwa nyumbani na mama la mama.. akaja rafiki yake ni mwalimu katoka shule.. yaani alivyo vaaa.. nikasema hapa wanafunzi wakiume lazima wakose adabukn siku niko obay pale shule kumchek.mwl alimkosesha mwanafunzi swali.mwanafunzi akamwambia mwl huna akili.hujielewi
😀😀😀 hamna kitu nyie.. Lipuli wenyewe wanashinda nyie sio wa kwanzaKawaida mwenye nacho akifurahia alichonacho mnaona mnaonewa. Tulia kijana
Ndio ushinde nao watoto wajeuri unawafundisha!Mimi sio mjeuri jaman![]()
AiseeYaani niliogopa sema Mungu ni mwema
Baadae nikapata ujasiri nikachoma tairi ndani wapi haonekani tafuta weh haonekani .
Afadhari umetambua level zenu. Ukiongea mpira Tanzania ongelea Simba na Namungo. Wengine wafagizi.hamna kitu nyie.. Lipuli wenyewe wanashinda nyie sio wa kwanza
mtoto alieshindikana hata mzazi wake kashindikana pia.. mtoto hajajizaa, mtoto hajajilea mtoto kafundishwa mtoto kalelewaKuna namna tu wakitengenezwa wanakuwa vizuri
Labda tu mtoto awe sugu aliyeshindikanika.
Mimi hata ndugu zangu wananijua wananiambiaga zaa na ww wa kwako ndio uwapige. Sipendi watoto wajeuri na wasiotaka kufundishika ni mwendo wa mabanzi tu.Ndio ushinde nao watoto wajeuri unawafundisha!
Hakiyanani unaweza pata magonjwa na moyo
Mpira wa tanzania uchafu mtupu.. hakuna simba wala mtibwa wala KMC wala nini matope matupuAfadhari umetambua level zenu. Ukiongea mpira Tanzania ongelea Simba na Namungo. Wengine wafagizi.
Koh Koh Koh.......🙊🏃🏃🏃🏃True love comes with jealous in it!
Ila hii ipo kweli..nina ndugu yangu wa kike wale watoto wake hapana aisee huwa anawapiga hadi na yeye anaanza kulia watoto ni hawasikii. Ila nilivyomchunguza baba yao nikaelewa kwa nini wanae wako vile.mtoto alieshindikana hata mzazi wake kashindikana pia.. mtoto hajajizaa, mtoto hajajilea mtoto kafundishwa mtoto kalelewa
eeh! mtoto ana pandiwa mbengu utotoni.. inategemea wazazi wamepanda mbegu aina gani.. watoto hawana hatia.. hatia ipo kwa wazazi.. ni vyema sana malaezi ya wazazi katika kimjenga mtoto imaraIla hii ipo kweli..nina ndugu yangu wa kike wale watoto wake hapana aisee huwa anawapiga hadi na yeye anaanza kulia watoto ni hawasikii. Ila nilivyomchunguza baba yao nikaelewa kwa nini wanae wako vile.
Sahihieeh! mtoto ana pandiwa mbengu utotoni.. inategemea wazazi wamepanda mbegu aina gani.. watoto hawana hatia.. hatia ipo kwa wazazi.. ni vyema sana malaezi ya wazazi katika kimjenga mtoto imara
Sasa unakuta mzazi mshenzi mshenzi.. toka mtoto anakua anaona ushenzi na upumbavvu wa wazazi.. unategemea mtoto awaje.. haya mzazi anamjenge mtoto mazingira hatarishi unategemea inakuwaje.. tunashukuru wazazi walikuwa kama makatili ili tulinyooka.. nakumbuka nilikuwa nikizungua.. nafungwa kamba miguuni na mikononi hakuna kula.. 😀😀😀 unakula stick hadi unakomaaa na hupewi chakula. na hapo yoyote alie kuzidi umri akiona unapuyanga anakuunyoosha hatari.. unafikiri kwa hiyo dozi unarudi tena kosaSahihi
huyu hana noma chief..
mrefu kama nini ☺️☺️Mrefuuuu uwii
jela hy.drc kule tunaita mkashoo .kasapa😀😀😀 Walimu wa kibaba mtihani sanaaa.. tena wabinti wa siku mtoto yupo form four ila anapendeza utadhani anafanya phd.. usipokuwa makini unachana mkeka