Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Hadi wewe huwa unachapa?kwa akili zako hizo nitakupiga makonzi mpaka basi!

Hadi wewe huwa unachapa?kwa akili zako hizo nitakupiga makonzi mpaka basi!

Ewaaa
Hao sasa tutaongea lugha moja
Unakosa vingikweli mkuu ni jambo zuri sana hilo, kuleni maisha vizuri.Sie bado bado tupo sana
Hadi wewe huwa unachapa?![]()
hamna nacho kosa asee 😬😬😬Unakosa vingi
Na umbo lake lilivyo mbona atafunga mtaawewe ukilewa nahisi utatembea uchii kabisa!!! kwahio akili yako anne!!![]()
Kabisa yanii!Na umbo lake lilivyo mbona atafunga mtaa
Amini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengihamna nacho kosa asee![]()
Uliona lakini mbinu za kivita nikizokupa??Ayayayayayayayayayayayaaa!! Hawa watoto usipochapa watakupanda kichwani mbona yani watakufanya bibi yao!
Hata ngedere au? Hapa ninapoishi kuna ngedere kibao na hao wajuba wapo teleWanasemaga unamwagia oil chafu.. hawapatani nayo wanasepa au funga vinyani vingi nyoka hakai
Ah wapiwewe ukilewa nahisi utatembea uchii kabisa!!! kwahio akili yako anne!!![]()
Niliona..... ni nzuri pia especially shule za private huko huku serikalini tunaenda nao kibishi tu !Uliona lakini mbinu za kivita nikizokupa??
hahahaha.tena awe mke mzuri ,raha sanaAmini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengi
Sijajua ila mahala palipo na hawao mabwana wa kutosha nyoka husepa wenyewe vinawaua sanaHata ngedere au? Hapa ninapoishi kuna ngedere kibao na hao wajuba wapo tele
acha mambo hayoo.. hakuna kinachokosekana kwa asie oa pia.. pattern ya mwandamu tofauti ndio maana wote hatujawa designed kuoa mzeeeAmini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengi
Ni za serikaliniNiliona..... ni nzuri pia especially shule za private huko huku serikalini tunaenda nao kibishi tu !

nipo uswazi kuna dingi katoa tambi moja matata sanaaaKaribu tupate iftar.ila kesho tuache ukobe
Hakika mkuu. Nzuri Sana kumiliki chombo chako mwenyewe.hahahaha.tena awe mke mzuri ,raha sana