Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante mamy hio ipo huwa tunawapa " morning quiz'
Ngoja nikupe mbinu
Hii sasa inatakiwa uanze nayo mwanzo tu ukikabidhiwa watoto.

Wakati nasoma nakumbuka kuna mwalimu tulikuwa tunamwita mwalimu portifolio

Alitaka kila mwanafunzi awe na file halafu anakagua j3,j5 na ijumaa.

J3 anakagua ulisoma nini weekend,
Jumatano anakagua ulisoma nini j3 na j4
Na ijumaa anakagua ulichosoma j5 na Alhamisi.

Kwahiyo unapaswa kusoma na kuelewa ikiwa pamoja na kukariri na kuandika summary na kuzibana kwenye file hilo aliloliita portifolio.

Ukisoma kidogo ..yaani summary vitu vichache jua ni fimbo.
Usiposoma kabisa..yaani akipita kukagua wewe hukuandika summary ni fimbo.
Ukiandika summary ya kutosha bila kukariri ni fimbo maana anauliza maswali kulingana na uliposoma.

.........

Mwisho wa mwezi anafanya tathmini ya portifolio lako lote.

Aliandaa list ya maswali zaidi ya 500 kwa topics zote na kila mmoja alikuwa na kazi ya kuyafanya kwenye daftari.

Anaanza kuuliza yale maswali kulingana na mpangilio wa topic.
Usipojibu ni fimbo.

Kwa jinsi nilivyokuwa naogopa fimbo nilifanya kila kitu kama mwalimu alivyotaka..
Sikuwaga mzuri sana kwenye biology ila nilifaulu kwa kupenda na bila kupenda.
 
walimu kazi mnayo
 
Back
Top Bottom