Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Haha wengine kutembeza 'nakoz' na 'kereb' za hapa na pale huwa ni dakika sifuri tu [emoji16][emoji16]Anne, wewe kama mimi nina mkono mwepesi kubonda mtu. Ualimu haunifai kabisa nitapata tu kesi
Haha wengine kutembeza 'nakoz' na 'kereb' za hapa na pale huwa ni dakika sifuri tu [emoji16][emoji16]Anne, wewe kama mimi nina mkono mwepesi kubonda mtu. Ualimu haunifai kabisa nitapata tu kesi
Mkuu niliona tangazo hapo wanatafuta mwalimu wa physics vipi alishapatikana?Shule ya sekondari Makumbusho boss, karibu sana.
😀😀😀 Basi njiwa manga.. au tuchinje ngamiaJamanii mwe mwe hadi popo yaani mwili mzima una corona😬🙆🏾
Pole sana inshaalah utakuwa sawaNimeshtuka mda huu ndio nimepata kumbukumbu.. kuna kitu nilikuwa naona hakiko normal... jioni utasikia Osman mwanangu njooo... unaanza kula wisdom za kizee na hadithi safiii.. 😊😊😊😊
👷♂️👷♂️👷♂️ 👷♂️👷♂️Pole sana inshaalah utakuwa sawa
Weeee[emoji12][emoji12][emoji12] pote napo kulaga nimegundua wamefunga imebidi na mie niunge mkono hoja.... ndio nakuja gundua hakuna wapishi wazuri kama mabinti wa kiislam..
sisemi uongo.. fanya tafiti utapata majibu tu 😀😀😀.. wapishi wazuri sana.. hata ukarimu wapo vizuri sanaWeeee
Hivi hadi wewe ni mkali?Haha wengine kutembeza 'nakoz' na 'kereb' za hapa na pale huwa ni dakika sifuri tu [emoji16][emoji16]
haujaonja Cha mke wangusisemi uongo.. fanya tafiti utapata majibu tu [emoji3][emoji3][emoji3].. wapishi wazuri sana.. hata ukarimu wapo vizuri sana
View attachment 2175515
Au basi ngoja ni Google
Mpendwa uko kundi lipi au Zumaridi group😜
😀😀😀😀 Hongera mkuu.. mkeo inaonekana anakutunza na kukujali sana..Hakuna mpishi mzuri kama mke wangu
Watoto wa Abiud hatujafunga 🙈View attachment 2175596
Anajitahidi kwa kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hongera mkuu.. mkeo inaonekana anakutunza na kukujali sana..
Safi sana.. enjoy mkuuAnajitahidi kwa kweli
Hatarious... mtu mwenye roho yake nyeupeee... malaika Lizzy