Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa unakuta mzazi mshenzi mshenzi.. toka mtoto anakua anaona ushenzi na upumbavvu wa wazazi.. unategemea mtoto awaje.. haya mzazi anamjenge mtoto mazingira hatarishi unategemea inakuwaje.. tunashukuru wazazi walikuwa kama makatili ili tulinyooka.. nakumbuka nilikuwa nikizungua.. nafungwa kamba miguuni na mikononi hakuna kula.. unakula stick hadi unakomaaa na hupewi chakula. na hapo yoyote alie kuzidi umri akiona unapuyanga anakuunyoosha hatari.. unafikiri kwa hiyo dozi unarudi tena kosa
Wazazi wa zaman wametusaidia sana watoto wengi kuwa hivi tulivyo leo, kipindi hiki hata malezi ni mabovu na watoto wanakua hivyo hivyo na tabia mbovu. Mimi nimeish na baba na mama hawa wazee walikua wakali hawana muda wa kubembeleza ukizingua ni stiki kwa kwenda mbele. Watoto wa siku hizi wakizingua wanabembelezwa badala ya kukemewa ndio mana hiki kizazi kina watoto wengi wa hovyo.
 
watoto hawajai hata kukaa njaa 24 na kipigo pamona na kamba unafikiti wanatoa wapi uoga.. ukikumbuka kisago unarudi kwenye mstari mwenyewe 😀😀😀😀.. nimekuja kutoka kwenye utata wa wazazi nilipo maliza chuo.. ndio nikahema sasa..
 
Kama hakuna fimbo sawa
Hakuna kitu nilikuwa naogopa shule kama fimbo,,nilijitahidi sana kuzikwepa..
Nikitandikwa basi ni makosa ya jumla jumla.

Kwahiyo kila siku utanipa lift hadi mbezi??
Hadi hapa nina uhakika wa 'A'

Wewe unafundisha somo gani mkuu??
Nataka somo unalofundisha nije nilisome upya aisee.

Haaha! Wewe mwanafunzi wewe…

Masomo mepesi tu Chemistry na Biology
 
1DEE6E96-AAB1-40D9-BF2F-0319346CCC5C.jpeg

Au basi ngoja ni Google
 
Back
Top Bottom