Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
ahaaa Lenie nyoka live.. 🤐🤐Weee navyoogopa nyoka, ningekua nimekutana nae live nahisi ningezimia
Hamna msisimko wowote hapo😂
ahaaa Lenie nyoka live.. 🤐🤐Weee navyoogopa nyoka, ningekua nimekutana nae live nahisi ningezimia
Hamna msisimko wowote hapo😂
Buddha hatujafunga 😊😊View attachment 2175515
Au basi ngoja ni Google
Si useme ni muumini wa Zumaridi😀😀😀Buddha hatujafunga 😊😊
😬😬😬😬 Weee mlo wa mchana hiki kipindi haunogi... jioni mambo ni 🔥🔥🔥Si useme ni muumini wa Zumaridi😀😀😀
Si ulinambia unafunga usiku unafungua asubuhi😂😬😬😬😬 Weee mlo wa mchana hiki kipindi haunogi... jioni mambo ni 🔥🔥🔥
😜😜😜 pote napo kulaga nimegundua wamefunga imebidi na mie niunge mkono hoja.... ndio nakuja gundua hakuna wapishi wazuri kama mabinti wa kiislam..Si ulinambia unafunga usiku unafungua asubuhi😂
Boss lady yupo vizuri, ndiyo maana nimeomba ni reseat somo lake, amenihakikishia ufauru wa juu 🙈Nilisema Mimi boss ledi ni kichwa
Anafundisha kemia fom siks![]()
Acha uwongo jana umetupia kimkia cha kenge una kula yaani sikutegemea huachi nyama 😬😜😜😜 pote napo kulaga nimegundua wamefunga imebidi na mie niunge mkono hoja.... ndio nakuja gundua hakuna wapishi wazuri kama mabinti wa kiislam..
😬😬😬😬 kale tulichoma wenyewe jamani.. kalikuwa katamuuu umenikumbusha buree utamu wake... kwaiyo wataka niache nyamaAcha uwongo jana umetupia kimkia cha kenge una kula yaani sikutegemea huachi nyama 😬
Tanzania tuna uhaba wa nyama mpaka ufikie hatua ya kula kenge😬😬😬😬😬 kale tulichoma wenyewe jamani.. kalikuwa katamuuu umenikumbusha buree utamu wake... kwaiyo wataka niache nyama
😬😬😬😬 mtamu sana hujui tu.. maliza chungu ya 30.. kwanza utakula vyote kenge mamba mixer kono konoTanzania tuna uhaba wa nyama mpaka ufikie hatua ya kula kenge😬
🙄☹️😬😬😬😬 mtamu sana hujui tu.. maliza chungu ya 30.. kwanza utakula vyote kenge mamba mixer kono kono
Kazi nzuri mtumishi naona jah anazidi ku bless mwaisa😅roho yangu mimi 😍😍
Au hutaki.. 😀😀😀 popo ushawai kuonja nyama yake
😀😀😀 Subiri kadi tu mwaisaa... mje mpige mpungaa baada ya RamadanKazi nzuri mtumishi naona jah anazidi ku bless mwaisa😅
Kwa sasa haufurahi🤔Ramadan ya huu mwaka.. dah.. toka nimezaliwa nilikuwa nikifurahia sana na mzee wangu.. imani zilikuwa tofauti ila kipindi cha ramadan kilikuwa kipindi kizuri sana kwetu kwatika miezi 12..View attachment 2175567
Jamanii mwe mwe hadi popo yaani mwili mzima una corona😬🙆🏾Au hutaki.. 😀😀😀 popo ushawai kuonja nyama yake
😬😬Kazi nzuri mtumishi naona jah anazidi ku bless mwaisa😅