Guu linamtetemesha hadi Babu yake 🙈🏃🏃
eti unajiita babu🙄🙄🙄! Hio babu vipi 😜Hahahaha......nina rafiki yangu ni Mzee wa almost 81yrs lakini Mwaka Jana alipata mtoto mwingine wa Uzeeni at that age
Kweli Wanaume hatuzeeki💪
A glass of water for you pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!Koh Koh Koh .........![]()

Mjukuu anamjali Babu yake 🤪🤪Miwani mara mbili kila ilipovunjika
![]()
Thanks kunirudisha Ujanani, naomba Bibi yako apite hapa aridhie ombi langu la kuongeza Kimwali 🙊Halafut, eti unajiita babu🙄🙄🙄! Hio babu vipi 😜
Nashukuru kunijali Mjukuu wewe, manake hapa Kiko niliyokuwa navuta imenipalia 🤪A glass of water for you pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!![]()
Makolo! Ila Anne una maneno !! Hivi una miaka mingapi kwanza!!
![]()


















kutoa TeniNatamani nirudie Shule ili nifundishwe na Mwalimu wewe 🥱🥱
Uongeze tena!! Watakuua kwa presha bora utulie na bibi tu ! 😜😜Thanks kunirudisha Ujanani, naomba Bibi yako apite hapa aridhie ombi langu la kuongeza Kimwali 🙊
Kuchaaa
























Ni Manara huyo aliwapa hilo jina
Mimi mkubwaaaaa
Nina 35kutoa Teni
Waje wawaone mabingwa wao wakichezaKwamba hawa wahuni walishinda? Can't believe it...fluke kama fluke tu!
Basi tukutane leo 2200hrs ili tujihakikishie top 4!!


Hiyo Presha itatokana na nini? Huyo Bi mdogo akija namkabidhi mashamba aanze kulima kwaajili ya watoto tutakaozaaa naye 🤪Uongeze tena!! Watakuua kwa presha bora utulie na bibi tu ! 😜😜
🤣🤣🤣🤣🤣! Anne nacheka pekeangu naonekana chizi huku mwenzio!!! please!Kuchaaa
Meno
Nyie boss ledi hadi meno yake mazuri
Njoo muone aiseeeeeee![]()
Heshima yako mzee wa Mchongo.. nipo na mjukuu wako hapa anakupa Hi 😀😀Koh Koh Koh .........😋
hahahaaa!! Haya selfika basi babu akeee!!Nashukuru kunijali Mjukuu wewe, manake hapa Kiko niliyokuwa navuta imenipalia 🤪
Usijali, namsubiri Bibi yako atoke kusenya Kuni aje anipige picha moja 🤪🤪hahahaaa!! Haya selfika basi babu akeee!!
wewe wake wawili pasua kichwa babuu sikushauri!! Utakua siku si zako please please bado wajukuu tunakuhitaji!Hiyo Presha itatokana na nini? Huyo Bi mdogo akija namkabidhi mashamba aanze kulima kwaajili ya watoto tutakaozaaa naye 🤪
kabisa fanya hivo ! Bila shaka wajukuu wahuko hawajambo! Sie huku wazima sana! Tumewamis tuUsijali, namsubiri Bibi yako atoke kusenya Kuni aje anipige picha moja 🤪🤪