Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Ana wivu wake huyo.Nkamu usiwe hivyo hapa nasikia hadi mapigo ya moyo yanaenda kasi[emoji3]
Sema
Unapikiwa
Hivi nyie wa kishua
Mnaingia jikoni kweli[emoji1787][emoji848]
Mwaka huu ntawatisha zaidi ya shumileta na Saradini alivyowatisha🤣Sikuachi hivihivi lazima nikuseme!
Kwanza acha kula sembe pili kata kucha unatutisha..😎
Blender sio heavy duty hili , nilisaga siku moja majani ya mlonge ikanigomea .
Nikatwanga tu kwenye kinu
Karanga dearDelicious
Cha nazi hichi ?
Ndo tukuite jini nani Sasa..?Mwaka huu ntawatisha zaidi ya shumileta na Saradini alivyowatisha🤣
Legacy hailindwi kwa kuvaa sare.Hebu tupia picha ukiwa na zile sare zetu za mbogamboga mkuu tulinde legase
Jini wineNdo tukuite jini nani Sasa..?
Hapo anafuaje ama ana washing mashine??[emoji1787]
Roho mbayaBora nichelewe kupata wajukuu lakini hao vijana wanaokimbia majukumu siwataki nyumbani, ombi langu la kumiliki mguu wa Kuku limefika kamati ya usalama ya Wilaya, wape habari zao [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Iwe na nembo ya shujaa wetu.Legacy hailindwi kwa kuvaa sare.
Nikajua jini mahaba Anne..🤣Jini wine
Nimebet ujue
Usinichanie mkeka[emoji41]
@GENTAMYCINEMpo wengi sana naona, hivi nani kawafundisha kushabikia vitu vya ajabu!!
Nitatupia ila usiache kukata kucha.Iwe na nembo ya shujaa wetu.
Selfika kidogo mkuu wangu katika kulinda legase ya shujaa😍
Ana wivu wake huyo.
@KasieCha mpira?
Ndio kipi?
uliweka na maji au?
jaribu kuweka kidogo kidogo.
ikishindikana basi hapo kutwanga lazima