Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mfalme Daudi, Mfalme Suleiman, Ruthu n.k walipokuwa kwenye siku zao za Uzee walitafutiwa Mabinti kuwapa Joto ili Wazeeke vizuri lakini Mimi unanikatalia😢🙆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 zama zimebadilika nanii wa zamani sio wa sasa shauri yako sie basi tunakuhitaji hatutafanikiwa kukupoteza kabisa!!
 
Tehteh! Sitaki tabu na raia wahuyu mama kabisa! Sketi hadi chini![emoji12][emoji12][emoji12]View attachment 2175070
Ona sasa boss ledi anapendeza Jamani nyie[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Utadhani wale waratibu waandamizi wa ibada pale full Gospel Bible Fellowship [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Anne please nisije changanya kemikoz mie mkasikia mwalimu aunguza maabara kuendekeza mitandao nacheka kama chizi hapa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]!
View attachment 2175075
Kwa jinsi ulivyo bright nilijua tu Mimi kuwa utakuwa umesoma sayansi[emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 zama zimebadilika nanii wa zamani sio wa sasa shauri yako sie basi tunakuhitaji hatutafanikiwa kukupoteza kabisa!!
Zama zimebadirika, Nanii wa zamani sio wa Sasa...................umeanza kuwa na mashaka na uwezo wa Babu pamoja na kula vyakula vya asili miaka yote hii 🙊🏃🏃
 
Waratibu wa ibada jamani Anne!!!🙄🙄
Ona sasa boss ledi anapendeza Jamani nyie[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Utadhani wale waratibu waandamizi wa ibada pale full Gospel Bible Fellowship [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Anne una VAR binafsi !?????!!![emoji15][emoji15][emoji15] wewe meno umeyaona wapi??[emoji23]
Nitamshangaa atakayesema hakuyaona yale meno yamejipanga namna ile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Heaven Sent najua amepitwa hajaona..
Nimepata Cha kuwanyanyasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na yule msukuma.
 
Back
Top Bottom