Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kongoro oyee
C360_20220404-100832-12.jpg
 
usiwaze wee njoo tu ujiandikishe Kwakua unareseat itabidi somo langu niwe nakufundisha jioni ndio tutakua na muda mwingi wa kusoma kwavile do zaidi 🤣!
Asante kunihakikishia mazingira rafiki ya kujifunzia 🤪

On my way 🏃🏃🏃🏃🏃
 
Weeee babu mie na Vijana Wapi na wapi?🙄🙄🙄🙄? Mie napambana na wazee wenzio tu!! Vijana wana mambo mia kidogo!🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️
Hahahaha........nilivyo na wajukuu visu hadi roho inauma, kwahiyo upo na Mjukuu yupi Nuzulati , Depal au boss ledi mahondaw 🙆?

Mwaka huu nitafunga mtu nakwambia 🤪🤪
 
Back
Top Bottom