Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
😀😀😀 Kizuri
😀😀😀 Kizuri
tuwashukuru kwa lipi nyie 👷♂️👷♂️👷♂️👷♂️.. mbio za sakafuniKwani mliwahi kuwa na shukrani nyie
sema sasa hivi watu wana shift kwenye remote mambo ya IoT.. kila kitu unamalizia kitandani kuaniza geti, fan, ac, taa zote, maji, heater etc.. maisha haya
Hahahaa tunapoelekea shida labda uzitake tu mwenyew, mzungu ameshaturahisishia mengi.sema sasa hivi watu wana shift kwenye remote mambo ya IoT.. kila kitu unamalizia kitandani kuaniza geti, fan, ac, taa zote, maji, hetaer etc.. maisha haya
😀😀😀 muamuzi wa yote ni pesa, wala sio kuchagua... naomba nije kulala kwenye hako kakitanda.. kinaonekana chumba kina harufu nzuri 😎😎😎Hahahaa tunapoelekea shida labda uzitake tu mwenyew, mzungu ameshaturahisishia mengi.
Tutafika tu na sie kwani sh ngapiii😛
Kusamvu na wali ssasssaaa dah😋😋😋😋😋 vinanona balaa!! I hope ulienjoy !!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wanaume hamzeekagi mwacheni mzee ale maishaa!! Au nasema uongo Wigelekelo ??Afadhali Mjukuu umesema, Mimi ni Babu mwema nisiye na Makuu kama rafiki yangu Lyatonga 🤪🤪
Kinanukia balaa😀😀😀 muamuzi wa yote ni pesa, wala sio kuchagua... naomba nije kulala kwenye hako kakitanda.. kinaonekana chumba kina harufu nzuri 😎😎😎
Nilienjoy mnoKusamvu na wali ssasssaaa dahvinanona balaa!! I hope ulienjoy !!

😁😁😁😁 masharti na vigezo kuzingatiwa.. kikiteguka gharama zaenda kwa naniKinanukia balaa
Nakikokodisha mtu akitaka kulala, karibu tuongee bei😂
Hahahaaa... marahaba mdogo wangu!Nilienjoy mno
Na wali huwa kinanoga pia
Shkamoo boss ledii.
mkuu umeona uniphotoe au sio 👷♂️👷♂️
Bora leo umekuja mapemaHahahaaa... marahaba mdogo wangu!


,
Huyu dada mwenye mtoto alipendeza
Hahahaha......nina rafiki yangu ni Mzee wa almost 81yrs lakini Mwaka Jana alipata mtoto mwingine wa Uzeeni at that age🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wanaume hamzeekagi mwacheni mzee ale maishaa!! Au nasema uongo Wigelekelo ??
Bora leo umekuja mapema
Utusafishie Uzi na selfies zako,
Wale makolo waliuchafua