Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Oh!nipo bongo land
Nasemea kuangalia kwenye banda umiza .
Pale 25
Panafaa
Nitakustua
Oh!nipo bongo land
Nasemea kuangalia kwenye banda umiza .
Simba zero.. hamna kitu homa za majira ndio simbaDuh
Jamaa kafurahi
Hatari
Oh!
Pale 25
Panafaa
Nitakustua
"Hawaamini wanachokionaa" (kwa sauti ya Baraka Mpenja) [emoji3][emoji3]Nkamu sikubet ila niliwanyanyua mashabiki wa Yanga kuwaleta uwanjani, walishaanza kunicheka [emoji3][emoji3]
Hapa wapo wapoleee hawaamini macho yao
[emoji23][emoji23]
na wewe ni team paka alie changamka 😬😬😬😬..[emoji23][emoji23]
Hakika huwezi kujuta kuwakilishwa kimataifaMimi huwa najuta tukifungwa ila
sikomi[emoji3]
sema ya leo naona nitakoma
HahaaaaaaMashabiki wa simba kesho tunaruhusiwa kuamka saa sita mchana[emoji881]
Waamshe wakawasindikize vyura wenzaoNkamu sikubet ila niliwanyanyua mashabiki wa Yanga kuwaleta uwanjani, walishaanza kunicheka [emoji3][emoji3]
Hapa wapo wapoleee hawaamini macho yao
Acha wivuuna wewe ni team paka alie changamka [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]..
wivu wa nini.. kwenye hamna 😬😬Acha wivuu
Hamna hamna ndiyo inayokuwakilisha nje Kwa ushindi mkuuwivu wa nini.. kwenye hamna [emoji51][emoji51]
siwakilishwi na huyo paka alie changamka.. mnawakilishana nyie wenyewe.. 😎😎Hamna hamna ndiyo inayokuwakilisha nje Kwa ushindi mkuu
Kwani mliwahi kuwa na shukrani nyiesiwakilishwi na huyo paka alie changamka.. mnawakilishana nyie wenyewe.. [emoji41][emoji41]