Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,679
- 208,842
Ujumbe wao wameupata 😅Bora nichelewe kupata wajukuu lakini hao vijana wanaokimbia majukumu siwataki nyumbani, ombi langu la kumiliki mguu wa Kuku limefika kamati ya usalama ya Wilaya, wape habari zao 🤪🤪🤪