Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
HahahaMsabato
Kauzu![]()
Ukauzu muhimu muda mwingine
HahahaMsabato
Kauzu![]()
Duhkasema asante ila anaomba akutumie kesho Vocha ya elfu 10 mtandao wowote mpe namna ya kukutumia


Fedheha hizi🤣🤣Genuine kisamvu
Achana na yale majani ya muhogo
Wakijitahidi watadrawKaa kwa kutulia
Sawa mkuuKesho nakuja kukagua.
Subiri mchapwe ndio utaelewa kama uchawi au ubovu🤣🤣Mmeanza uchawi![]()
Mimi pia nipo hapa kwenye korido nanyatia kuja kipande hiyo.Sawa mkuu
Nipo hapa Lumumba
Hebu tupia picha ukiwa na zile sare zetu za mbogamboga mkuu tulinde legaseMimi pia nipo hapa kwenye korido nanyatia kuja kipande hiyo.
Sikipendi pia hicho cha mhogo
hivi tunavyonunua sokoni mweh ni vibaya . Kama hauna kinu kubwa unaenda kula majani tu wewe .
DuhAmeshatoka kwa kina binti Abiud


Duh
Ukisikia
Ngumu kumeza ndio hii
Mwenyeji ashinde 1H
Mgeni atawale na kushinda
2H
Odds 300![]()



Subiri mchapwe ndio utaelewa kama uchawi au ubovu![]()

Mjukuu Kwa guu hilo, nadhani nianze mchakato wa kufuga Mbwa Mkali hapa nyumbani na Ile biashara ya kuuza Barafu hapa naifunga rasmi![]()


Blender sio heavy duty hili , nilisaga siku moja majani ya mlonge ikanigomea .kinunue halafu kisage tena kwenye blender
SemaWeek ijayo tu Mungu akipenda
Nitapika tena then nitaleta mrejesho .


Ndio mshashindwa hivyo🤣Nkamu usiwe hivyo hapa nasikia hadi mapigo ya moyo yanaenda kasi![]()
Kata kucha.
