bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,540
- 3,392
Leo ntaota ndoto nzuuri zaidi.... 😄😍Hili ni tangazo la colgate mjomba,safii[emoji2]
Leo ntaota ndoto nzuuri zaidi.... 😄😍Hili ni tangazo la colgate mjomba,safii[emoji2]
Nice mkuuRoll up the spliff to the face and reload. [emoji100]
View attachment 2172268
Wahoo, asante sana sana Depal kuna switch fulani hivi umenifungua kwenye fikra zangu, nashukuru kilichonileta selfika jioni ya leo,[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nianze tena kustorika?
Hahaa
Briefly:
1st stop…. Pilato anamuhukumu Yesu ili hali hajui na haoni kosa, ila anafanya hivyo 7bu ya kumuogopa Kaisari na Wayahudi…
Leo hii hata sisi tunashindwa kufanya mema kwa sababu ya kuogopa macho ya wenzetu na maneno ya hapa na pale.
Mf: katika kuokoka, ukiokoka full maana yake na baadhi ya mitindo ya maisha inakupasa uiache like kuvaa kizumaridi. Ila sasa inaweza kukushinda kuenenda na mtindo wa kuvaa kiAbiud kwa kuhofia macho ya watu.
Pia suala la haki, inatupasa tuitende kwa namna inatakiwa iwe pasipo kuleta za Pilato kuigandamiza haki kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi na kubembelezea ushost wake kwa Kaysari.
Likely kibinadamu, unakuta mtu anashindwa kusimamia haki 7bu tu anataka kum favor rafiki / ndugu.
5th stop…. Tunaona namna Simon wa Kirene anamsaidia Yesu kubeba msalaba, hapa tunapata funzo la ukarimu mixer upendo.
Kituo kinatuonyesha ushujaa wa Simon kumsaidia Yesu nasi pia yatupasa kumsaidia Yesu kuuchukua msalaba, tunauchukuaje!!
Ni kwa kuzifata na kuziishi amri za Mungu na amri za Kanisa letu la kikatoliki.
Na misalaba yetu ya kibinadamu tuibebe mpaka Kalvario [emoji13]
Afu mie sikusoma Sunday school ujue [emoji1787] inatosha
Ndio nilikua natafakari hapa mkuu wangu, imenibidi nishukuri kilichonileta selfika siku ya leoBoss maisha yetu ni msalaba,haijalishi ni familia,kazi, biashara,afya nk.
Nimeipenda sana nilipoona amekupa hivyo vituo,leo ukipata muda embu yatafakari maisha yako Kwa upana wake,naamini D anaweza kuwa malaika wako wa kukufungulia njia fulani.
Ni mtizamo tuu
Nipo bosslady
Mbinguni tutapewa miili mipya
Acha ukorofi nkamu!
🤣🤣🤣🤣
Nimecheka nkamu. Naona aibu kwa kweli
We humtakii mema baby wangu.😏 Nikidondoshea mchuzi wa maharage ntasema nilikuwa nahangaika nini?🙄🙄...Na M1 yetu pembeni unagusa tu-mouse na vinyimbo kucheki sound ina stereo 😍
Umemisika Nkamu fanya kuselfika basiiNimecheka nkamu. Naona aibu kwa kweli
Nkamu twa masiku?Umemisika Nkamu fanya kuselfika basii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka nkamu. Naona aibu kwa kweli
Acha tu nkamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanzo mgumu nkamu
Ni huzuni kwa kweli 🤣ha ha ha ha[emoji3][emoji3][emoji3] hili cheko linamaanisha hata wewe hujavaa
Ni huzuni kwa kweli [emoji1787]
Ila mvua zimeanza, natumaini nitakuwa najitahidi.
Tununu mwanafyalaNkamu twa masiku?
❤